spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Mtafute Chinooo wana man wana man
Wanaume wengi ugonjwa wetu ni tako mbinuko (mnesoneso) ndo maana nauliza kwanza sio nitume hela ya tiketi nikutane na tako dogo kama ngumi.Hahahaaa!!Msaidieni bhana , hamna anaekosa t*ko mkuu, kwani anatumia mdomo kunya?
Hauko peke yako,tupo watz kibao 😃Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,
Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,
Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Una miaka mingapi nisijetuma nauli nikatumia mkwekuru.Weka yako kwanza
Njoo pm. Uko mkoa gani? Nikukatie ticket uje pemba upate marashi ya karafuu.Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,
Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,
Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Na wanaonikejeli ni wenzangu na mie ambao ndege tunaiona juu ikipitaVile watu wa JF wanamkejeli mleta mada kama vile wote wamepanda ndege kumbe hata ka Coastal ka hapa hapa bongo hawajawahi panda.
Wengine hata hawajawahi tu kusafiri mikoa zaidi ya miwili.
Aibu sana sisi wabongo.
Kila mtu na tatizo lake, usilazimishe yangu na yako vifananeWenzako tunapitapita humu kuomba japo buku mbili ya kununua wali maharagwe we unakuja kuomba msaada wa kukwea pipa tena kwa ajili ya pleasure?
Fikiria maisha ya wengine pia.
Cc Bantu Lady
Samahani mama.Miaka mingi ya kua mzazi wako
Nimewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo wanisaidie kufikia lengo langu, hao wataonitaka nikalale nao sina makubaliano nao kwa hiyo ni BIG NO, ukiwa muungwana utatoa msaada bila kuhitaji malipo ukiwa baradhuli ndio kama hivyoNa mfano umesema upo tayari kwenda popote?Dah mbona kama mashaka maana hapa wanaume wamecoment asilimia 90, ina maana akikupandisha atataka umfikie na lazima akuombe mlale NAE, je utakuwa tayari kwa ajili ya kulala na mtu kisa tu ndege? Au unafanya biashara ?
Jitafakari
Kama ni matatizo yako panda ndege kwa pesa zako, usihitaji msaada wa wana JF.Kila mtu na tatizo lake, usilazimishe yangu na yako vifanane