Michael Dudicoff
JF-Expert Member
- Aug 20, 2024
- 203
- 270
Weka yako kwanza
Weka yako kwanza
Hivi kama tako lipo lakini karithi sura ya baba yake hapo hamna tatizo?! Mimi nadhani lazima pamoja na mengine Kuna kuangalia sura na kifua kwakuwa mwingine tako analo lakini huko mbele ni bonge la baunsa !Wanaume wengi ugonjwa wetu ni tako mbinuko (mnesoneso) ndo maana nauliza kwanza sio nitume hela ya tiketi nikutane na tako dogo kama ngumi.
Anza na esijiara kwanza.Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,
Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,
Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Mimi kwanza nakuombea ufanikiwe upate kile unachokitamani.Siforce ila nimeeleza matamanio yangu bila kuweka wazi itatokeaje
Mpeleke Dubai .Nicheck pm turuke zetu Zanzibar tukale bata kidogo hii weekend, ila uwe na muonekano unaoendana na kupanda ndege free.
Sura ya jini we unaijua?Huhitaji hata kuona sura yake ikoje wewe tayari unataka namba?! Wengine mtakuja mkaribishe majini nyumbani kwenu.
💪No reform no election
First class tutakaa, kule kuna viti vitanda...Nakuja na bheka kata tiketi mbili
Sura ya jini we unaijua?
We jamaa mbn siku hz sikuoni kule kwenye battle ya Dar vs Nairobi? Au ulitekwa 😂😂😂Mpandie hata kuku utakuwa umepanda ndege
Wenye akili tumeondoka wote kule ....walio baki kule nina mashaka na akili zao ...maana kwa sasa hakuna tena cha kujivunia kutokana na viongozi wahuni tulio nao sasa . Nchi yenyewe inaongozwa na hiki kiumbe hapa chiniWe jamaa mbn siku hz sikuoni kule kwenye battle ya Dar vs Nairobi? Au ulitekwa 😂😂😂