Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Hapo hakuna mwanaume wa kukusaidia free dada angu kama huwa unapanda bus, tren au bot, dunduliza ufanye booking ya mda mrefu garama huwa inapungua.
Watu wema bado wapo, usiwasemee watu wote pia ombi halijalengwa kwa wanaume pekee, hata wanawake wanaweza kumsaidia mwanamke mwenzao
 
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,

Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,

Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Nipe picha yako, nikiridhishwa nitakuchukua twende kula raha maduniani
 
Be you. The world will adjust.
 
Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana

Nimesoma comments zote hadi hapa, nilicho gundua ni skuizi vijana wamekua wagumu na wazito kwenye uelewa maana binti kajieleza wazi kwa kilakitu yani...😂
Binti kaweka Tangazo murua kabisa ila vijana wetu wengi hawajui kujiongeza na ndio maana tunahitaji reforms!
 
Nimecheka sana na kuona huruma at the same time. Wallah kuna mwanangu hapo amekaza mishipa ya fuvu anatoa offer ya kumpandisha mtu ndege ilhali hata Airport hajawahi kuingia... hajwahi kanyaga pale ila anataka ampandishe Unknown creature ndege upwiru utakuua mwanangu mwenyewe!
 
Kikubwa atakuwa amepanda ndege na amepaa angani kama anavyowish.
Mpeleke Dubai .
Dar to Zanzibar kwa ndege ni dk 0 ndani ya ndege inayobeba abiria 12 kama daladala kwahiyo hawezi ona raha ya kupanda ndege wala hawezipata Cha kusimulia wengine akirudi.
 
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,

Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,

Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Broh Bhakari aka Bheka unataka kupanda ndege! Be careful with your backaches
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom