Kujipendekeza ni maradhi. Yaani unashindwa kujitambua kiakili, unajipendekeza hata yule unayejikomba kwake anajua unaikomba. Aibu tupu! Wanafanya hivi kwa sababu vyeo vya shukrani karibu vinamwagwa nchini maanaBw Mkubwa anamaliza muda wake na wanajua Mama na Ridhiwani wana nguvu kubwa za ushawishi.Mzee kama huyo wa hapo mbele na mvi zake anapiga magoti kwa watu ambao ni kama binti zake Dingswayo ukombozi wa fikra bado sana hapo hata hawajielewi wanafanya nini
kkarumekenge hata kama ni kujipendekeza huku kumezidi bana hata kama ni style ya wimbo hii ni too much banaKujipendekeza ni maradhi. Yaani unashindwa kujitambua kiakili, unajipendekeza hata yule unayejikomba kwake anajua unaikomba. Aibu tupu! Wanafanya hivi kwa sababu vyeo vya shukrani karibu vinamwagwa nchini maanaBw Mkubwa anamaliza muda wake na wanajua Mama na Ridhiwani wana nguvu kubwa za ushawishi.
Mama yako ni ccmhaha..CCM ni zaidi y amisukule na wagonjwa wa akili
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!
![]()
Najipa moyo kuwa watakuwa wanaimba wimbo ambao style yake ni kupiga magoti....manake kwa hali ya kawaida haiwezekani huyo 'mzee' wangu hapo mbele apige magoti kwa wanae na wajukuu...sio utamaduni wetu asilani.