Nampigia magoti Mwenyezi Mungu tu na si binadamu mwenzangu, sasa hii si njaa tena bali ni matitizo ya kufikiri.
Dina hata wimbo style ya kupiga magoti itakuwa ni wimbo wa kuomba msaada au kuomba fadhila na kote huko ni kujidhalilisha haswa huyo babu hapo mbele