Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Duh hii kali ya mwaka
Tuambie hii imetokea wapi?Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!
View attachment 151528
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

![]()
Kiburudisho cha RaisHivi hoyo mwanamke wanaemuimbia ana cheo gani ndani ya CCm? Kwanini wamuabudu hivyo?
Wenyenchi wamefika kutembelea nchi yao.Na wanachi wanawapokea kwa kuwaabudu maana ndiyo wenyenchi,vinginevyo kazi,ardhi,wala biashara hakuna.Mpaka tuelimike basi ni wale watoto,au wajukuu zetu ndiyo wataweza kuibadilisha taswira hii.