fakii Gireshi
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 112
- 17
Niingemchukulia poa tu kama anavyopiga magoti kanisani
katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za alfu lela ulela!!
![]()
Hao waliopigiwa magoti wamejenga mazingira ya kupigiwa magoti!...........Mantonya Namba 2
Wtz wamerogwa Anglia huyu mzee maskini na mvi zake. Salma si kama mtoto wake inatia kinyaa swala km hii kwani wale wakoloni wamerundi ? Huu upumbafu mkubwa sana
Nchi hii imegeuzwa kuwa ya kifalme na huu unatokana na umbumbu wa watanzana wenyewe.
Viongozi wanatakiwa kuwatumikia wananchi lakini leo ni kinyume chake.
Mama yako ni ccm
Kwi! Kwi! Kwiiiii !!!!!
Mkuu Erythrocyte umeniuzi sana! Mwenzio hapa machozi yananitoka kwa ujinga huu unaofanywa wewe unacheka? Mie nimepata hisia kuwa huyo mzee hapo mbele aweza kuwa MSALANI ambaye ni memba mwenzetu lakini ona anavyojidhalilisha!
Uwiiii maskini misukule ya CCM! Sijui imelishwa nini jamani? Maana kama ni limbwata basi hilo lazima ni la mlingotini.
Sent from my iPad using JamiiForums
Acheni masihara ndugu zangu, njaa mbayaaaa
Kweli njaa mbaya.