Sijawahi kuona kitu kama hiki

Sijawahi kuona kitu kama hiki

Tumezoea kuona wanawake wakiwapigia magoti wanaume. Sasa mzee huyu anampigia magoti mdogo wake tena mwanamke kisa mke wa raisi!! Na hao wanawake wengine waliopo hapo nao anawapigia magoti!!! Huu ni unafiki wa hali ya juu. Heshima kwa mtu haipimwi kwa magoti!!!!
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

attachment.php
 
Dina hata wimbo style ya kupiga magoti itakuwa ni wimbo wa kuomba msaada au kuomba fadhila na kote huko ni kujidhalilisha haswa huyo babu hapo mbele

Kupiga magoti hufanywa na binadamu mbele ya Muumba wake tu! Hao wanaopigiwa magoti ni miungu watu!
 
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

attachment.php

Namwona Juliana Shonza na mimba yake kwa mbaaaaaaali
 
Last edited by a moderator:
Na bado hadi 2020 tutafikia hata kukamata.....kuta. Cheki hilo zee na mvi kichwani! Sijui limetokana na wazazi ombaomba?!
 
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

attachment.php

Kweli njaa ni mwanahar-amu.
 
Mbona wakiimba kwaya huwa wanapiga magoti kwahiyo hapo cha ajabu ni kipi???

Kwahiyo hapo ilikuwa wanaimba kwaya?? Ni kanisani hapo au nje ua church??
Ni nyimbo gani walikuwa wanamuimbia malkia mke wa mfalme??
 
Hainishangazi sana, tushazoea vitu vya bure bure so haijalishi kama unapoteza utu wako kisa eti mke wa Rais ambae akitoka hapo sana sana atacheka kwa dharau. Na ndio maana CCM inapata matokeo mazuri kila mara
 
...duh...hii ni balaa.....kwa namna hii unaona kabisa watawala wataendelea kukalia ufukara wa raia wao nchi hii ili waendelee kusujudiwa namna hii...inasikitisha sana...nchi hii ilipofikia.....wanaosujudu wanaona wanafanya sawa...na wanaosujudiwa wanaona wanafanyiwa sawa......huu ndio usawa wanaoimba ccm......what a curse e!!
 
Mbona wakiimba kwaya huwa wanapiga magoti kwahiyo hapo cha ajabu ni kipi???

Hapo wanaimba kwaya?! Babu mzima anampigia magoti mwanamke?! Wanaume wa siku izi njaa itawaua. kama angekua babako ungemchukuliaje? Angekua mzazi wangu ningemkana!!!
 
Back
Top Bottom