Sijawahi kuona kitu kama hiki

Sijawahi kuona kitu kama hiki

Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

attachment.php
Mkuu Dingswayo sijui wewe ni wa imani gani, lakini kwa makanisani hilo jambo la kawaida kila jumapili.Unaweza
kuona kuwa hao waliovaa kijani ni wasanii wa nyimbo wa CCM na wanawaimbia kwa vitendo wasikilizaji wao.
 
Last edited by a moderator:

Kwani kanisani anapigiwa magoti nani,leo babu anampigia magoti katoto kadogo
 
Last edited by a moderator:
Jamani ata huyo malkia elizabeth anafanyiwa ivi kweliii?? Kwani huyo salma anaonekana yuko happy kabisaaaaa wakati ni aibu!!
 
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

attachment.php
Halafu huyo wa mbele si anaweza kuwa umri sawa na baba Salma.?
 
Mkuu Dingswayo sijui wewe ni wa imani gani, lakini kwa makanisani hilo jambo la kawaida kila jumapili.Unaweza
kuona kuwa hao waliovaa kijani ni wasanii wa nyimbo wa CCM na wanawaimbia kwa vitendo wasikilizaji wao.

mwaka huu mtasingizia kila kitu .
 
Last edited by a moderator:
Hivi Haya mambo yalifanyika lini na wapi.Maana initia hasira sana .Au ni maeneo ya pwani na Dodoma?
 
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!

attachment.php

Huyo wa mbele ni Msalani wanamshitaki Nape amewapiga panga kwenye mgao.
 
Mi nlijua ni kwaya ya TOT ya Kaptain Komba wanamkaribisha mgeni hahahahahahaha"
 
Heshima gani hizi za kuwatukuuza wachache .. Ni ukoloni mambo leo, waafrika wachache kubeba utukufu wa kunyenyekewa na waafrika wanyonge.. Hii si heshima ni udhalilishaji
 
Back
Top Bottom