joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Njaa haina umri
Umenena mkuu, maana tulishawahi kusikia wakati wa vurugu za Loliondo kama sikosei, Waziri aliyejiuzulu Kagasheki aliwatamkia wananchi waliokuwa wanalalamika kuhusu kunyang'anywa ardhi yao, ya kuwa ardhi yote ni mali ya Rais. Sasa mwenye ardhi au mwenye nchi anapofika kwenye nchi yake (au hata akija mkewe au mwanawe) wapangaji inawabidi kuanguka na kupiga magoti...
Ama kweli utumwa mbaya sana, hasa utumwa wa mawazo! Mpaka akili mgando zifunguke walalahoi watajikuta wamevuliwa kabisa utu wao! Na hawa ndio wa kwanza kuupigia debe utawala huu wa kidhalimu na ukija uchaguzi wataendelea kuwachagua hao hao wanaowanyanyasa!
katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za alfu lela ulela!!
![]()
Magamba hayo yanaomba kura ChalinzeKatika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!
![]()
Hapo ni "Zidumu fikra za waliosimama!!"Duh! Ama kweli. Aliyezoea Kuishi kwa uongo haujui ukweli
Elli mpwa wangu njoo huku uone vitu.people with this type of brain are only found in Tanzania. believe me tunaweza anzisha utalii wa "IGNOSTUPIDITY TOURISM" wageni wakawa wanasafiri wanakuja kuangalia makubwajinga ya africa na tukaingiza pesa. Kabisa wenzetu India wana slam and trash tourism watu wanaenda kushangaa uchafu.
haha..CCM ni zaidi y amisukule na wagonjwa wa akili