Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.

Ulivyo orodhesha hapo vyote tunakili ni ufisadi lakini alicho tenda padri nachao ni kitendo cha kifisadi, haiwezekani watu kilasiku wanazunguka na kapu arafu yy ana chamba2 kiwepesi
 
Slaa ni mfanyakazi wa Chadema....na matumizi ya ruzuki ni kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama, sasa mfanyakazi akikopa mshahara wake kuna tatizo gani? acheni ujinga...watz wanataka kujua mantimiza vipi ahadi zenu za kujenga reli mpya ya kati, ya kununua meli mpya ziwa victori,tanganyika na nyasa, ya kujenga machinga complex mbili katika wailaya za Nyamagana,Ilemela,Temeke, Kinondoni na Ilala...sio majungu.

Umewajibu vizur sana mfanyakazi yeyote kwente kampun yoyote au taasisi yoyote ana pewa haki ya kukopa kama mfanyakazi
 
Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;

na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?

Nikiwa kama mwanachama wa chadema nimesikitishwa na suala hili.. Mikoa inakosa ruzuku

ufafanuzi
cc Tumaini Makene, Molemo
Kaka hii Avar yako imeifanya siku yangu kua njema!
 
Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?

CC Tendwa,Utoh

Nakushauri uushirikishe ubongo wako kabla hujaandika. Ruzuku ndiyo inamwezesha yeye kupata mkopo atakaoulipa kutoka kwenye mshahara wake. Leo hii ulinda bank mtu mwenye mshahara wa 7m utapata mkopo hata wa sha 50m kulingana na sera za bank. Sasa nashangaa watu wanaojadili upuuzi hapa, kwani Dr mwenye mshahara wa 7m kwa mwezi akikopa shs 20m mbona ni sawa tu na ni kidogo sana.

Sisi hatuhangaishwi na hizi propaganda, jambo moja tu lililopo mbele yetu ni ukombozi halisi wa nchi yetu na jemadari wetu ni Dr Slaa period. kama hutaki ndenda kajinyonge.
 
Ulivyo orodhesha hapo vyote tunakili ni ufisadi lakini alicho tenda padri nachao ni kitendo cha kifisadi, haiwezekani watu kilasiku wanazunguka na kapu arafu yy ana chamba2 kiwepesi

Kwani kaiba? Acha ujinga huo.
 
Padri mwenye watoto.Utamwamini kweli!huyu kiumbe,hafai hata kuishi
kwani wewe kama ulikuwa police na ukauacha huo upolice au ukafukuzwa na ukajiunga na wizi utaendelea kuitwa police? Dr. si padri tena ni mwanasiasa kwa sasa.
 
Kukopeshana katika maofisi ni kawaida!!! Kila ofisi ina utaratibu wake na mtu anakatwa katika mshahara wake hasa Ofisi private. Umesikia kafungulia kesi ya madai kuwa kashindwa kurejesha mkopo!! Wewe na mimi tunadaiwa deni la taifa hadi mjukuu wako na wala hatujui zilivyotumika maana wabadhirifu ni wengi katika serikali. Bora Dr. Slaa anakopa ili apate nguvu ya kuelimisha umma kuwa na imefika wakati iwe basi kwa wizi wa rasilimali zetu. Maisha ni magumu wakati tuna kila rasilimali na wawekezaji ni makampuni ya nje na shareholders ni vigogo wetu hawa hawa!! Muda si mrefu vyote nguvu ya umma itavitaifisha!!
 
Mengi tutayasikia tuombe uzima! Huyu Padri atakanusha kila kitu siamini kama alilikana kanisa lake na kumkana mtoto wa MARIAM atakosa kukana kuchukua fedha? Ni kitu kidogo sana hicho kwake ni mdhulumu mkubwa huyo BABU anakaa na mke wa mtu sasa bi Jose......
 
dada umeenda mbali sana kuniita mie kilaza... Samahani sikujua kama dr slaa kaajiriwa cdm; nilijua ni mwanachama wa kawaida tu kama mie. Asante kwa ufafanuzi mungu akubariki
Mimi ni dume la mbegu lililokubuhu!
 
Hivi kumbe siku hizi kukopa ni kosa?au ni kwa Slaa tu?Poa ngoja tumtafutie bunduki akafagie tembo kama msomali wa maccm maana ndo ya kuaminika

Mtu anaye ratibu hizi propaganda za kumchafua Dr.Slaa na chadema ni kilaza, hasomi nyakati,haelewi uelewa na upeo wa watanganyika waliochoshwa na hali duni ya maisha yao unaosababishwa na sera zisizo tekelezeka na baadhi ya viongozi wabovu na waliokosa uzalendo wa serikali ya ccm. Nimpe ushauri wa bure tu kwamba ajikite kwenye mambo hayo kuyatafutia majibu, hiyo ndiyo njia pekee ya kuiua na kuitokomeza chadema.
 
nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa chadema daktari slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

mbona mdwanzi tu! Babu hana kitu,ila marupurupu tu ya chama!!
 
[h=5]HATIMAE SLAA AKIRI KUJIKOPESHA
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Hivi shonza hakua muongo!!! mungu ambariki sana dada wa watu.[/h]kujichotea huku milioni 2o za chadema kumemshushia sana hadhi Slaa na kuonekana kumbe wote waliokulia ccm ni wezi pia
 
itahwa,

..bora ameamua kukopa. inaonyesha ni muadilifu.

..huyu angejisalimisha CCM angelipwa mabilioni.
 
Last edited by a moderator:
Yani 20m ni vijisenti vidogo sana vyakumnanga mtu namna hiyo eti hatma ?ya 20mambayio hata mimi namlipia hahahahahahhahaah maskini utawajua tu kitu gani hii yauumiza kicha nakufungulia thread lol
 
unajua matumizi ya kondomu? Ndio wewe.!
 
aaah inatia kichefuchefu sasa kila kukicha Dr slaa,nini anachowasumbua?vichwa vinawauma kwa kitu gani?mnaudhi bana.nasema tumechoka upashkunaku huo.zungumzieni gesi toka mtwara kwenda bagamoyo.mnakera sana.
 
Back
Top Bottom