Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,818
- 18,073
Huna hoja! Kabla ya kujitupa hapa JF fanya utafiti au iliza kwa wajuzi wa mambo, hutachekwa!Asante bumbuwazi kwa kujibu hovyo hovyo ilimradi uongeze post.
Huna hoja! Kabla ya kujitupa hapa JF fanya utafiti au iliza kwa wajuzi wa mambo, hutachekwa!Asante bumbuwazi kwa kujibu hovyo hovyo ilimradi uongeze post.
Labda mizinga 21 ya ushuzi.utamwamini 2015 utakapokuwa anapingiwa mizinga 21 na JWTZ. omba Mungu siku hiyo ya uhuru kamili tz uwe hai. utamwelewa
Hivi wanaowatuma wanawalipa
kwa upuuzi huu? Vijana mnaliaibisha taifa na mnajidhalilisha,CDM inazidi
kupaa
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Nakubaliana na wewe 100%
mkuu! Tatizo wanachama/wapenzi wengi wa chadema wanawaona viongozi wao
(hasa Dr. Slaa) kama mungu mtu.
Yaani ukiwakosoa kwa hoja unaonekana wewe ndio tatizo. Utatukanwa hapa
mitusi ya kila aina.
Kiukweli chama ambacho hakiwezi kuwakosoa ama kuwarekebisha viongozi
wake hakifai kabisa kupata ridhaa ya kuongoza nchi.
Chadema kina fursa ya kuchukua nafasi hii ya kuwa chama kikuu cha
upinzani kuweza kuweka mifumo thabiti ya kiuongozi na kinidhamu. Mfumo
ambao kiongozi/mwanachama yeyote, bila kujalisha cheo atatakiwa kufuata.
Chama kiruhusu uwazi katika ku manage grievances za wanachama, hoja na
dukuduku zijadiliwe na ziamuliwe kwa kufuata misingi chama
ilichojiwekea. Chama kiruhusu hii misingi iwe tested.....viongozi wa juu
waache uoga na ubabe usio na tija kwa chama.
Chadema ikishindwa kuchukua hatua sahihi sasa, haitokuwa tofauti na CCM.
Ndo maana sishangai Dr. Slaa leo hii anapoanza kujitetea kuwa
kukopeshana hata CCM wanafanya. This is poor justification from him.
Chadema inatakiwa kujibu hoja, na sio kukimbilia kufukuzana.
Haiwezekani baadhi ya mikoa ikawa haipati pesa ya kuendeshea shughuli za
chama, huku makao makuu wakitumia pesa za ruzuku kukopeshana.
Moja kati ya majukumu ya chama cha siasa ni kuhakikisha kuwa
kinajijenga, kama taasisi, chama hakiwezi kuanza kukopesha wafanyakazi
wake huku bado hakiwezi kuendesha shughuli zake za msingi.
Viongozi wa mikoa na wilaya kadhaa wa Chadema wamekuwa wakilalamika kuwa
wanaendesha chama kwa hela za mifukoni mwao na hawapati chochote toka
makao makuu kwa ajiri ya shughuli za chama za kila siku.
Hapa chama kimepotoka, wanachama wa Chadema msipepese macho pembeni.
Mwambieni ukweli Katibu Mkuu wenu, kama kweli mnampenda na mnakipenda
chama chenu.
Hiyo ndio demokrasia au ulitaka waende mapadri tu na wachungaji?
we mwenyewe usha jua kuwa katumwa aaah wata nini tena,gamba hilo.lina mtetea fisadi na genge lake akina DHAIFU na genge lao na mafisadi.chukua like yangu, lakini hili hawataki kusikia watakuambia umetumwa....
Acha mkwara wewe mlimbwende
kuna wakati mnakuwa wapuuzi, pana hoja na ww km unadhani sio sahihi toa maelezo sio kutumwa, haitakuwa vibya hata hivyo mana kutumwa kwa kuufumua udhaifu wa matumizi ya ruzuku ni kwa maslahi ya taifa.
hakuna mkwara...upuuzi unawasaidia nini? Hata isipokuwa Slaa na CHADEMA mkae mkijua mabadiliko hayakwepeki...
Ni mwenye upungufu wa akili tu anayeweza kupingana na mabadiliko maana yakiamua kuja yanakuja na hakuna wa kuyazuia...
Mwamtafuta DHAIFU yupi hali ya kuwa DHAIFU ni mmoja tu TZ! nae ni kilaza?
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
naam ntamwamini kwakuwa hata ww unamwamini akiyepora mke wa mtu.
Hata wizi na mabinti nao ni UDHAIFU,hivi unajua kuwa PhD ya babu ni ya masuala ya dini a.k.a hekima ni sawa na sheikh Ponda leo ajiite Dr Ponda.
CC Pro CDM
Kwa taarifa tu
Kweli kuna watu wana akili za mende kwani na wewe umeajiriwa na CHADEMA!? Mwajiri ye yote ana utaratibu wa kukopesha watumishi wake hivyo kama unataka mkopo kutoka CDM omba ajira kwanza!