Jaman c amekopa?hoja yako
nn?amekopa atalipa!katafute tuhuma nyngne mpaka mutaishwa zote then ndo
mtapoteana
Ralphryder,Wee@JokaKuu, huyo Nabii wenu si alikataa katakata kwamba hakuchukua hata ndururu!?
ameshindwa kupita kwenye nyayo za umasikini wa wafuasi wake???? anatafuta utajiri wa nini???
Alafuu Dr.Anaruhusiwa kutumia pesa zetu kihalali na sio kupitia EPA na Meremeta kama ilivyo kwa JK na CCM yake ya waua tembo kina kinana Acha Dr.Akope hata Mabilioni ya Shilingi lakini si kuiba kama CCMaaah inatia kichefuchefu sasa kila kukicha Dr slaa,nini anachowasumbua?vichwa vinawauma kwa kitu gani?mnaudhi bana.nasema tumechoka upashkunaku huo.zungumzieni gesi toka mtwara kwenda bagamoyo.mnakera sana.
Kwani anafanya kazi wapi mpaka akope? na atarudishaje na kwa awamu ngapi?
[h=5]HATIMAE SLAA AKIRI KUJIKOPESHA
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Hivi shonza hakua muongo!!! mungu ambariki sana dada wa watu.[/h]kujichotea huku milioni 2o za chadema kumemshushia sana hadhi Slaa na kuonekana kumbe wote waliokulia ccm ni wezi pia
Invisible unganisha huu uzi na ule wa jana tuliojadili swala hili.
Nimeanza kuamini! Magamba walioko kwenye mitandao wana mpenda sana Dr Slaa kuliko wana chadema wenyewe! Nyuzi nyingi zinazo mhusu Dr zinaletwa na wanamagamba ambao chama chao kilimnyima fursa ile 1995.
Naamini hata Ba Mwanaasha kabla hajapata usingizi lazima amuwaze huyu mzee.