Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

kauli zinapingana ndani ya siku 2

Kwenye mkutano wa wanafunzi wa vyuo vikuu juzi CHASO alisema hajakopa...............imekaaje hii siku mbili baadaye anakubali kuwa kakopa?
 
Kama una uchungu is ujifungue, CCM na mafisadi wa chama chako wamekula vingapi vya nchi hiii? Kazi kujaza server za JF.
 
Yani 20m ni vijisenti vidogo sana vyakumnanga mtu namna hiyo eti hatma ?ya 20mambayio hata mimi namlipia hahahahahahhahaah maskini utawajua tu kitu gani hii yauumiza kicha nakufungulia thread lol

Vijisenti kwa sababu ni kashfa inayomhusisha Dr SLAA na CHADEMA. Kila siku mnapiga kelele ufisadi, leo mmebanwa CHADEMA unageuka kuwa sio ufisadi tena.
SHAME ON YOU!
 
Mfamaji haishiwa kutapatapa. Ikifika 2014 nahisi wata anza kusema mboe ataka kujiunga na magamba.
 
HATIMAE SLAA AKIRI KUJIKOPESHA
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Hivi shonza hakua muongo!!! mungu ambariki sana dada wa watu.


kujichotea huku milioni 2o za chadema kumemshushia sana hadhi Slaa na kuonekana kumbe wote waliokulia ccm ni wezi pia

haya sema tena








[h=5]Willibrod Slaa
[/h][h=5]Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya mwisho June 2012. Hivyo hakuna deni la chama tena.
2. Josephine hajawahi kulipwa hata senti mmoja na chama kwa ziara za Mikoani, wala kwa shughuli yeyote ile isipokuwa wakati wa kesi Arusha alipokuwa na mtoto wa miezi 3 na tulihitaji yaya
[/h]
 
Hatima yake ni kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania!
 
sasa nimeamini kuwa nape ana vibaraka anawalipa bei gani nami nijiunge?
 
Kama amekopa mna shida gani.Atarudisha.ANGEKUWA KAIBA HAPA JAMVINI PANGECHIMBIKA.SHAMEON U CCM.HAMNA JIPYA.
 
Mkopo si dhambi...na Mabenki watu wanakopa...Sasa Mtu anakijenga chama kwa kiasi chote hicho na leo kujiimarisha kwa maisha yake pia kwani si kupambana bure...Sidhani kama kukopa ni dhambi....Wenye shida ni nyie wajinga mliopandikizwa na CCM kuangalia na kuchafua Chadema kana kwamba CCM tayari imekujengeeni maisha ya kudumu na vizazi vyenu..Kina Nape wanatumia maprado ya CCM na wanakula CCM nyie Angalieni msimu wa mvua umekaribia mkaandae mashamba yenu...
Wachafuzi wa Chadema ni Magugu ya kuteketezwa na Moto...
Tafakarini na Mchukue hatua
 
ni fedha ndogo saana kwa hadhi ya DR SLAA, ila hoja ya msingi kafuata utaratibu wa huo mkopo. kuna utaratibu wa wazi wa kukopeshana ndani ya chama. majibu ya wazi na ya kina ni muhimu kuliko majibu ya kinga kwa mgombea wangu asichafuke.
 
Bil kumung'unya maneno na kuleta ushabiki wa kisiasa, ainingii akilini, mtu anelipwa 7 million kwa mwezi, akakope 20 million! Je malipo hake ni ya muda gani? Riba ni kiasi gani. Na je, wanachama wengine wa Chadema ni ruksa kukopa? Hapa hii wana CDM haijatulia, pamoja na ushabiki, hii haijatulia, si angekopa bank? Kwani Chadema ni SACCOS au Mircofinance?
 
Yaan ccm bhana kila mada ni Dr.slaa nini kinachowaumiza xana? wapelekeen wanavijiji maji bdl ya kuwahonga kina mwampamba na wezake wakichafue CHADEMA, mtambue kuwa sasa hakuna wakuwapumbaza na AMAN huku hana hata uhakika wa kula,,,
 
Kwa hili la mkopo wa kujikopea wakati watendaji wanalia njaa,babu hana pakutokea!
 
maswali ya kijinga haya.hivi ni kazi gani hapa duniani isiyo na malipo.!

idawa, Haya weka hapa mshahara wake tupige hesbau ya incometax, pspf, na makato mengine halafu tuone inabaki sh ngapi na hiyo m.140 atakuwa anakatwa sh ngapi!
 
Last edited by a moderator:
itahwa,

..bora ameamua kukopa. inaonyesha ni muadilifu.

..huyu angejisalimisha CCM angelipwa mabilioni.
Kuna umuhimu wowote Dr Slaa kukopa pesa za ruzuku. Kwa nini asiende kukopa benki.
 
Last edited by a moderator:
Punde wananchi walio wengi watakapogundua kwamba Lile Jabali la Kuwachachana Wezi na Mafisadi wa Mali za Uma anawindwa na CCM kwa Hoja dhaifu kama hizi ndipo utakapokuwa mwisho wenu
 
Sisi wengine tuko Kimya tukiangalia kwa Umakini kuona kama Dr. Slaa anaweza Kushambuliwa kwa "HOJA" Zozote so far hatujaona Hoja zaidi ya VIOJA vya

1. Dr. Slaa Kajikopesha
2. Dr. Slaa Kaiba Mke wa Mtu
3. Mchumba wa Dr. Slaa anakwenda kuimarisha chama

Lakini wajuvi wa Mambo wanaelewa kwamba Kile Chama cha Kijani hakiko tayari kuingia katika Uchaguzi wa 2015 Dr. Slaa akiwa na Nguvu kubwa za Kisiasa. Mbaya zaidi wapinzania wake inaonekana kama hawana Hoja za Msingi zaidi ya Voja vya Personal Life
 
Back
Top Bottom