Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Jaman c amekopa?hoja yako nn?amekopa atalipa!katafute tuhuma nyngne mpaka mutaishwa zote then ndo mtapoteana
kwani hiyo ni Saccos, mbona kwa mshahara wa Mil 7 anaolipwa Benk nyingi tu zingekuwa tayari kumkopesha au kakimbia Riba kwenye benk za kibiashara? Ishu sio kukopa but ni je yeye kama msimamizi wa sheria alifuata taratibu, Mbona Mbowe kakopa Mil 50 Nssf watu hawajapiga kelele?Slaa atende anayohubiri. Kama kweli kakopa kwenye chama basi uadilifu wake ni wa Mdomoni!