Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

Gamba manyoya, Dr Slaa hahitaji kuungwa mkno na wewe kwa chochote
 
na kama cha kimeamua kuinvest kwenye kutoa mikopo ili kujipatia faidi kwa maendeleo zaidi??
wanatakiwa kuweka wazi watu wote wajue..na katiba ipitiwe pia wawe na leseni kutoka mamlaka zinazohusika kuwaruhusu kufanya hivo (kama inaruhusiwa kisheria) kumbuka tunategemea kuongoza nchi,hatuwezi kufanya mambo kienyeji
 
Hivi kuna chama hakikopeshi watumishi wake kweli, tumwombe CAG akague report za vyama vyote and then tupewe majibu ili tujiridhishe, kama katibu mkuu wako anashida inayohitaji fedha (kumbuka matendo na CV ya katibu huyo ni mtaji kwa chama chako) hivi itashindikana kumkopesha? Ndani ya magamba mtu akiwa na shida anapangiwa tu safari ya uwongo na kweli ili tu ampewe pesa za kumtosha, akiwa safarini huko, pesa ya serikali hutumika kumgharamia kila kitu, hivi hapa bora nani, aliyekopa ili arudishe baadae au anaekwapua then pesa inakua imekwenda moja kwa moja?
 
Labda wapumbavu ndio watamuamini.
1 kakwapu mke wa mtu
2 anatumikia vyama viwili
3 kalamba 140mil za ruzuku
4 ameasi upadri.

Huyu haamini hata kidogo.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

mia mkuu
 
Hivi aliyrkopa na aliyejihamishia bora yupi?

Wewe usiyekubaliana na slaa,unajua ni kwanini alikopa? halafu unajua wanataratibu gani za mtu kukopa pesa ya chama?
hivi nyie mnaopiga kelele kuhusu kukopa kwa slaa mnadhani yeye anaweza kulazimishi kukopeshwa kama sio kafata taratibu zilizopo.

Hebu msituchoshe na maneno yenu yasiyo na mashiko, kukopa ni kitu cha kawaida cha maana ni pesa inalipwa, matatizo ni kwa kila mtu lakini bora anayeamua kukopa na kusolve tatizo lake kuliko anayeamua kuiibia nchi na kukosa uzalendo.

Mfani wasira aliamua kuwa mpinzani baada ya mambo kuwa magumu aliamua kuungana na genge la wezi aendelee kutuibia ilkusudi kurahisisha maisha yake.

lakini slaa,mara ngapi kajaribiwa kupewa pesa na magamba ili asaliti chama lakini amefanya nini?slaa ni mzalendo,ndiyo maana kaamua kuingia deni kulikono kuamua kujiunga na genge la wahuni wezi wadhambiki akaamua kuendelea kuwa cdm. Vijana wadogo wadogo wanakisaiti chama babu ya vijipesa wanakengeuka kama kina shoza na wezake.

Long live dr slaa. Ntakusupport siku zote wewe ni kiongozi mzalendo.
 
Gamba manyoya, Dr Slaa hahitaji kuungwa mkno na wewe kwa chochote
Masanilo unaweza niita gamba ni kwa maoni yako...hatuwezi kujenga chama kwa kusifia kila kitu hata kama ni nje ya katiba ya chama....kwa taarifa yako mimi sio gamba nawachukia magamba laikini kwenye ukweli lazima tuseme..acheni unafiki.tutakuwa hatuna tofauti na magamba ambao wanasifia kila afanyacho JK hata kama ni upuuzi,hatuhitaji kufika huko
 
Kuna haja gani ya Gamba kumwamini Slaa?Watanganyika tunamwamini sana.
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
 
Kwani hao magambaz wenzako walioifisadi nchi hii walifuata taratibu gani?Acha uzumbukuku.Huu ni wakati wa ukombozi.
Lakin mbona mnaotetea hatuambii kama mkopo ulifata taratibu na kwa namna gari alipata huo mkopo wakati mikoan ruzuku imekuwa utata kufika? Na mbona wale wasemaji official wa chama hawaonekani ktk hili?
 
Jana huko manyara gari moja limepinduka likiwa na meno ya tembo,dah huyu kinana atatumalizia tembo wetu
 
Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.

ulukoko toka usingizini. slaa ankipeleka chama pabaya kwa maslahi yake. ni mlafi. anapenda pesa kupindikuia. inaelekea hujawahi kanyaga makao makuu ya cdm ukanusa angalau nini kinaendelea pale. nasikitika kuona ya kwamga hatuna wana mapinduzi wa kweli ambao watatukomboa watanzania na kutupeleka kwenye maisha bora........ amka ulukoko. ondoa ukungu kwenye ubongo wako.
 
Nikiri wazi kwamba sijamsikia Dk akikiri kwamba ni kweli amekopa hela ya chama kwa matumizi binafsi.Lakini nimesoma kwenye vyombo vya habari kwamba amekiri kwamba amekopa lakini sio shilingi milioni 140 kama ilivyodaiwa awali,bali ni shilingi milion 20 tu.Nikiri pia kwamba mimi ni CHADEMA damu na nina kadi .Lakini suala la katibu mkuu wa chama kukopa hela ya chama kwa matumizi binafsi sio sahihi.Najua watu mtapinga lakini twende kwa hoja na tuweke ushabiki pembeni.Fedha za chama iwe ni kutokana na ruzuku au vyanzo vingine vya mapato inapaswa kutumika kwa manufaa ya chama na sio kwa matumizi binasfi, hata kama kuna makubaliano ya kurudishwa baadaye.
Kuna taasisi nyingi ambazo zinatoa mikopo kwa watu binafsi na kwa makampuni.Sitaki kuamini kwamba Dr alijaribu kufanya hivyo akashindwa.Hili suala kama ni kweli linatia doa moja kwa moja chama chetu na tunawapa CCM cha kusema.

Ndugu! Naamini kabisa u mwenye afya bora kiakili, na siamini kama unawezakuathiriwa na propaganda za ccm na kushindwa kutumia tu akili ya kawaida ktk kufikiri.

Chukua mfano unafanya kazi ktk kampuni fulani halafu ukapatwa na shida fulani yenye kuhitaji kiasi fulani cha pesa halafu kwa wakati huo we huna hiyo pesa, swali ni Je Itakuwa ni dhambi kampuni kukukopesha fedha kisa wewe ni mfanyakazi wa kampuni hiyo?

Kama ujuavyo benki zinautaratibu wa kukopesha watu fedha, Je kama we ni mfanyakazi wa benki huruhusiwi kukopa?

Hakuna ulazima wa kila mwenyeshida ya fedha kwenda kukopa Benki, isipokuwa kila mtu anaangalia wapi anaweza kuomba mkopo wenye unafuu na masharti rahisi, ikizingatiwa kwamba Mabenki hutoza riba kubwa urejeshapo fedha baada ya kukopa.

Na nakushangaa unabeba bango kwanini DR SLAA amekopa, ile hali unajua kwamba pesa hizo ataziresha,
Je angekuwa ameziiba ungesemaje?

TUWE TUNATUMIA AKILI TU ZA KAWAIDA KUPANGUA PROPAGANDA ZA CCM, TUSIWE WEPESI WA KUYUMBISHWA NA PROPAGANDA.
 
Hakuna matatizo ya katibu mkuu yatakayozidi ukata wa ruzuku ya kuendeshea ofisi za chama mikoani na hapo ndo panapatikana utata...
 
Kukopa sio tatizo labda kama angeiiba mbona Tanzania tunadaiwa trilioni 20 kwanza inaonyesha jinsi alivyo wa kawaida magamba hamna sera.
 
Mimi sio mtoto mwenzio we binti, M4C inachangiwa wakati wowote kwa kuwa kuna namba za Mpesa. Kama ungekuwa na akili ungeanza kuhuzunikia na kuonea huruma hatima ya TEMBO wa nchi hii ambao Abdulahman Kinana akishirikiana na maghaidi wenzie toka Somalia wanawaua tembo kwa kasi ya ajabu. Siku hizi wanatumia wanajeshi wetu kuua tembo kwa kisingizio cha katibu mkuu wa chama tawala. Pia kuna ufisadi wa bomba la mafuta la mtwara ambako mafisadi wameongeza dola milioni 532 cha juu. We unalalamikia hela ambayo hujawahi kuchangia, nyie ndio huwa mnaolewa na kuachika kwa kuwa na msimamo.
Mama Mingoi tunayemfaham sisi alikuwa na msimamo hasa linapokuja suala la kukata viuno pale Twanga Pepeta, sasa we sijui ni binti yake huna msimamo kabisa
Majibu sahihi kabisa. Ila bado ataleta tena hoja ya kipuuzi maana uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho.
 
Kuna hadithi ya kweli ya yule Bwana Kibwetele wa Uganda aliyewaambia wafuasi wake wauze kila kitu na wakajifungie kwenye Kanisa ila wasubili mwisho wa Dunia. Na siku ilitabiliwa kuwa mwisho wa Dunia ilpofika wakajichoma moto wakafa watu "waumini" wake wengi kweli kweli. Na Bw. Kibwetele huyo akaishia na mali zake.

Huu ni mfano wa Wana CHADEMA ambao mara zote wanapoambiwa Viongozi wao wamefanya hivi wao hata kama wanaona watakuambia siyo kweli kwani wameshaahidiwa na "Bw. Kibwetele" Slaa na Mbowe kwamba, Mwisho wa CCM umefika na wao wanapata vyeo ili waweze kuchukua wake za watu na kujikopesha pesa kutoka Benki Kuu n.k.

Kuna haja ya CHADEMA Kukaa chini kutafakari na kuchukua hatua. Lakini kwa sasa CHADEMA inaonekana na Mbowe, Slaa na Lisu. Kabwe alikuwa zamani sasa ni mwiba kwa CHADEMA naye anaishi kimungu mungu tu kwani kama siyo uwezo wake binafsi muda huu angeshafukuzwa kwani hata uhusiano wa kiukoo na Mwanzilishi wa NGO ya CHADEMA. Mzee Mtei.

Sasa leo Kakopa Tshs. 20 milioni, hata kama angekopa Tshs 600. Je Viongozi wangapi wa CHADEMA wanaweza kufanya hicho kitu cha kukopa?

Lakini ukiwa ndani ya CHADEMA hutakiwi kuhoji hayo ili maisha yako yaendelee vema ndani ya NGO hiyo ama sivyo utapewa majina mengi mara ooo CCM masalia, mara umetumwa wewe. Na akihama chama utasikia alitumwa sasa kashindwa, mbona wale wanaohamia CHADEMA kutoka vyama vingine hamuwapi majina????

AMA KWELI NYANI HAONI KUNDULE.
 
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

Sasa kama alikopa kuna dhambi gani? Mngesema aliiba hapo ndipo pana tatizo. Lakini kama alikopa hata ingekuwa ni zaidi ya 140 milioni sioni tatizo kwani atarudisha! Kukopa ni sehemu ya maisha! Hii ni hoja dhaifu!
 
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

Mkuu huyo jamaa mbona fisadi tu kilamtu analijua hilo labda kwa wale wanaomuona kama mungu wao, kafisadi mpaka ndoa ya watu bwana! Huyo jamaa hafai. Lol
 
ulukoko toka usingizini. slaa ankipeleka chama pabaya kwa maslahi yake. ni mlafi. anapenda pesa kupindikuia. inaelekea hujawahi kanyaga makao makuu ya cdm ukanusa angalau nini kinaendelea pale. nasikitika kuona ya kwamga hatuna wana mapinduzi wa kweli ambao watatukomboa watanzania na kutupeleka kwenye maisha bora........ amka ulukoko. ondoa ukungu kwenye ubongo wako.
Watu mnafikra za ajabu kweli,kiongozi anayekopa na kurudisha fedha mnampigia kelele ila wale wanaojichotea kwa wizi na 10persent za miradi ya maendeleo mnawaona mashujaa wenu.
Kweli tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom