Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

Tembo wanavunwa kama mazao mengine au haujui tukueleweshe.

Katika nchi maswala kama haya ya kuvuna TEMBO kama MCHICHA ndiyo haswa ya kuzungumzia na kuyajadili kwa kina,laana ya MUNGU iwakute wote wanaohusika na uvunaji huo iwe leo au kesho
 
Kama hili dogo limekufanya upatwe na wasiwasi, na imani ukisikia yale makubwa hata hamu ya kumsikiliza inaweza ikawa be no more straight away.
 
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?

Wajaribu kukosoa wafukuzwe uanachama hujasikia amesema boyfriend wa Mshumbushi
 
WEWE MWENYEWE HUJIAMINI UTAWEZAJE KUMWAMINI DR.SLAA? Mwamini Mwigulu aliyeshikwa ugoni Igunga
 
Hivi kumbe siku hizi kukopa ni kosa?au ni kwa Slaa tu?Poa ngoja tumtafutie bunduki akafagie tembo kama msomali wa maccm maana ndo ya kuaminika
 
Acha unafiki wewe toka lin umekuwa mwanachadema?

am serious bro acha jokes za kijinga jibu hoja ndio maana ni'mention hata dr slaa mwenyewe siwezi kufanya masihara namheshimu sana dr slaa
 
Hivi wanaowatuma wanawalipa kwa upuuzi huu? Vijana mnaliaibisha taifa na mnajidhalilisha,CDM inazidi kupaa
 
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?

Nakubaliana na wewe 100% mkuu! Tatizo wanachama/wapenzi wengi wa chadema wanawaona viongozi wao (hasa Dr. Slaa) kama mungu mtu.

Yaani ukiwakosoa kwa hoja unaonekana wewe ndio tatizo. Utatukanwa hapa mitusi ya kila aina.

Kiukweli chama ambacho hakiwezi kuwakosoa ama kuwarekebisha viongozi wake hakifai kabisa kupata ridhaa ya kuongoza nchi.

Chadema kina fursa ya kuchukua nafasi hii ya kuwa chama kikuu cha upinzani kuweza kuweka mifumo thabiti ya kiuongozi na kinidhamu. Mfumo ambao kiongozi/mwanachama yeyote, bila kujalisha cheo atatakiwa kufuata.

Chama kiruhusu uwazi katika ku manage grievances za wanachama, hoja na dukuduku zijadiliwe na ziamuliwe kwa kufuata misingi chama ilichojiwekea. Chama kiruhusu hii misingi iwe tested.....viongozi wa juu waache uoga na ubabe usio na tija kwa chama.

Chadema ikishindwa kuchukua hatua sahihi sasa, haitokuwa tofauti na CCM. Ndo maana sishangai Dr. Slaa leo hii anapoanza kujitetea kuwa kukopeshana hata CCM wanafanya. This is poor justification from him.

Chadema inatakiwa kujibu hoja, na sio kukimbilia kufukuzana.

Haiwezekani baadhi ya mikoa ikawa haipati pesa ya kuendeshea shughuli za chama, huku makao makuu wakitumia pesa za ruzuku kukopeshana.

Moja kati ya majukumu ya chama cha siasa ni kuhakikisha kuwa kinajijenga, kama taasisi, chama hakiwezi kuanza kukopesha wafanyakazi wake huku bado hakiwezi kuendesha shughuli zake za msingi.

Viongozi wa mikoa na wilaya kadhaa wa Chadema wamekuwa wakilalamika kuwa wanaendesha chama kwa hela za mifukoni mwao na hawapati chochote toka makao makuu kwa ajiri ya shughuli za chama za kila siku.

Hapa chama kimepotoka, wanachama wa Chadema msipepese macho pembeni. Mwambieni ukweli Katibu Mkuu wenu, kama kweli mnampenda na mnakipenda chama chenu.
 
Unaweza kuja na utaratibu,takwimu za waliokopa tayari,vigezo na kanuni ipi ya fedha za serikali?
[/QUOTE
Inaelekea wewe ni mbumbumbu kabisa katika taratibu na kanuni zinazoongoza utumishi ndani ya serikali! Nakushauri uende katika ofisi ya serikali iliyo karibu na wewe uonane na Ofisa utumishi akuelemishe!
Serikalini watumushi wanakopeshwa fedha, magari, samani za nyumbani n.k. kwa taarifa yako!
 
Asante bumbuwazi kwa kujibu hovyo hovyo ilimradi uongeze post.
 
hivi mbowe aliwahi kugombea na nani katika nafasi ya mwenyekiti wa chama?nasikia kila kipindi anafanya zengwe ili abaki peke yake.hata uchaguzi ujao kisha watuma mamluki wake waanze propagande kwenye jf eti bado anahitajiwa na chama,watu wanajua kila kinachoendelea,tunataka watu wasomi na wenye uwezo wachukue nafasi ya mbowe yeye akae pembeni abaki kama mshauri maana hata elimu hana, yani kasoma kwa kuungaunga sana ndio mana ukiitafuta cv yake haipo, kifupi nhatambuliki ,slaa aende akatubu kwanza kanisani na amwombe radhi rose kamili kwa usaliti wa ndoa yake.

Ukivuta bangi za lumumba mara nyingi inakuwa vigumu kujitambua, Na ww niambie kikwte aligombea na nani uenyekiti wa maCCM mwaka jana? Pia nitajie chuo kilichompa udokta.
 
Udokta wa JK ni wa heshima ni kawaida kwa vyuo vikuu duniani kuutoa kutokana na mchango fulani kwenye jamii.Udokta wa katibu wako hata TCU hawautambui ni wa elimu ya dini tu tena dhehebu la katoliki tu.
 
Nakubaliana na wewe 100% mkuu! Tatizo wanachama/wapenzi wengi wa chadema wanawaona viongozi wao (hasa Dr. Slaa) kama mungu mtu.

Yaani ukiwakosoa kwa hoja unaonekana wewe ndio tatizo. Utatukanwa hapa mitusi ya kila aina.

Kiukweli chama ambacho hakiwezi kuwakosoa ama kuwarekebisha viongozi wake hakifai kabisa kupata ridhaa ya kuongoza nchi.

Chadema kina fursa ya kuchukua nafasi hii ya kuwa chama kikuu cha upinzani kuweza kuweka mifumo thabiti ya kiuongozi na kinidhamu. Mfumo ambao kiongozi/mwanachama yeyote, bila kujalisha cheo atatakiwa kufuata.

Chama kiruhusu uwazi katika ku manage grievances za wanachama, hoja na dukuduku zijadiliwe na ziamuliwe kwa kufuata misingi chama ilichojiwekea. Chama kiruhusu hii misingi iwe tested.....viongozi wa juu waache uoga na ubabe usio na tija kwa chama.

Chadema ikishindwa kuchukua hatua sahihi sasa, haitokuwa tofauti na CCM. Ndo maana sishangai Dr. Slaa leo hii anapoanza kujitetea kuwa kukopeshana hata CCM wanafanya. This is poor justification from him.

Chadema inatakiwa kujibu hoja, na sio kukimbilia kufukuzana.

Haiwezekani baadhi ya mikoa ikawa haipati pesa ya kuendeshea shughuli za chama, huku makao makuu wakitumia pesa za ruzuku kukopeshana.

Moja kati ya majukumu ya chama cha siasa ni kuhakikisha kuwa kinajijenga, kama taasisi, chama hakiwezi kuanza kukopesha wafanyakazi wake huku bado hakiwezi kuendesha shughuli zake za msingi.

Viongozi wa mikoa na wilaya kadhaa wa Chadema wamekuwa wakilalamika kuwa wanaendesha chama kwa hela za mifukoni mwao na hawapati chochote toka makao makuu kwa ajiri ya shughuli za chama za kila siku.

Hapa chama kimepotoka, wanachama wa Chadema msipepese macho pembeni. Mwambieni ukweli Katibu Mkuu wenu, kama kweli mnampenda na mnakipenda chama chenu.

Acha kutema ugoro na tutajibu hoja tu na sio pumba za lumumba.
 
utamwamini 2015 utakapokuwa anapingiwa mizinga 21 na JWTZ. omba Mungu siku hiyo ya uhuru kamili tz uwe hai. utamwelewa
 
am serious bro acha jokes za kijinga jibu hoja ndio maana ni'mention hata dr slaa mwenyewe siwezi kufanya masihara namheshimu sana dr slaa

vigumu kukuamini maana points zako hazina tofauti na za vijana wa mwigulu.
 
Back
Top Bottom