Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

huyu babu ni janga,mungu katuepushia.Angekuwa rais huyu wa nchi sijui ingekuwaje.Mabutu seseko+king mswati=babu
 
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?
Sio kwamba viongozi wa juu wa CDM ni miungu watu la hasha,hao ni watu wenye utu na uchungu na nchi yao haswawakiangalia manyinyiem mlivyokosa haya na utu.
 
Hakuna uzalendo wa kiongozi wa kujikopesha hela za chama bila kufuata taratibu tena kukiwa na maeneo muhimu ya utendaji ambayo hayafikiwi na ruzuku kwa madai ya uchache wa fedha.huu sio uzalendo kwa chama wala taifa!
 
Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.

----- ww hata ukiambiwa utembee uchi utatembea kwa kuwa umeambiwa na mwizi na tapeli SLAA mnaejifanya kumwamini kumbe ana yake endeleen hivyohivyo na akili zenu za dagaa
 
Hivi anaamika kwa lipi? Kwa pesa haaminiki; kwa wake za watu haaminiki sasa hebu tuelezeni nyie mnaojifanya mnamwamini ni kwa lipi? Kiongozi ambaye kinywa chake kimetawaliwa na maneno ya uongo na fitina ni hatari kwa jamii yetu; hatukatai mna mapenzi ya kupenda angalieni visije kuwadhuru.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
kama vujiruzuku kidogo tu,vinatafunwa tukimkadhi nchi hao tembo unaowazungumzia watapona?

Sasa kwani kachukua bila maandishi? Kafanya ufisadi? Ulitaka awaombe nyinyi hizo hela? Ukiona kijana anapenda kushadadia vitu visivyo na msingi basi anachembechembe za kichawi.
 
Kwani hata kama amekopa milioni 140 ni kosa? Kosa ni kuiba siyo kukopa ndugu!

Kweli we Chadema unadhubutu kusema hivyo????????????? Wakati tunapigia kelele fedha za EPA watu kukopeshwa kinyemela bila kufuata taratibu?????????? Tukitaka wafilisiwe na kwenda KEKO na viboko 12 akiingia 12 akitoka akamueleze MKEO/MUMEO. Sasa tunahubiri nini na kufanya nini??????????? SHAME ON THEM
 
Anaaminiwa na watanzania wazalendo sio mafisadi wa aina yako,hata yeye hataki umwamini"
 
Anaaminiwa na watanzania wazalendo sio mafisadi wa aina yako,hata yeye hataki umwamini"
Labda wapumbavu ndio watamuamini.
1 kakwapu mke wa mtu
2 anatumikia vyama viwili
3 kalamba 140mil za ruzuku
4 ameasi upadri.

Huyu haamini hata kidogo.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kweli we Chadema unadhubutu kusema hivyo????????????? Wakati tunapigia kelele fedha za EPA watu kukopeshwa kinyemela bila kufuata taratibu?????????? Tukitaka wafilisiwe na kwenda KEKO na viboko 12 akiingia 12 akitoka akamueleze MKEO/MUMEO. Sasa tunahubiri nini na kufanya nini??????????? SHAME ON THEM

Mimi sikujua kama EPA ni mkopo! Hii ni kali ya mwaka!. Siku hizi watu wanakopeshwa BOT? Slaa amesema kakopa mil 20. Ssa wewe unataka nini? Si anazirudisha?
 
Lakin mbona mnaotetea hatuambii kama mkopo ulifata taratibu na kwa namna gari alipata huo mkopo wakati mikoan ruzuku imekuwa utata kufika? Na mbona wale wasemaji official wa chama hawaonekani ktk hili?
 
Hii propaganda imeshindwa tayari, japo tunajaribu kuivuta vuta lakini kiukweli ndo imeshakufa!
Tumtafute mwigulu na Nape watusaidie kuanzisha uongo mwingine, huu umekufa kirahisi sana!
 
Hapana hii sio propaganda ni hoja halisi na kwakweli haijafa zaid inawaumiza sana,na nyie badala ya kukaa kujua mlikosea wp mpo busy kutafuta namna ya kulificha,kwakweli nimewashangaa mawakala wa mabadiliko kufanya upuuzi huu.
Hii propaganda imeshindwa tayari, japo tunajaribu kuivuta vuta lakini kiukweli ndo imeshakufa!
Tumtafute mwigulu na Nape watusaidie kuanzisha uongo mwingine, huu umekufa kirahisi sana![/QU
 
Mimi sikujua kama EPA ni mkopo! Hii ni kali ya mwaka!. Siku hizi watu wanakopeshwa BOT? Slaa amesema kakopa mil 20. Ssa wewe unataka nini? Si anazirudisha?
Ndugu yangu Mikael P Aweda Hawa watu wa sisimasalia wanaimba nyimbo zile zile na chorus ile ile. Labda waje na nyimbo mpya. Dr Slaa atabaki kiongozi wetu mpendwa.
CCM watuambie wamefanya nini kurekebisha wizi wa mali za umma?
Watuambie watamalizaje utata wa Mtwara? watuonyeshe mikataba ya ujenzi wa bomba la gesi wazi. WAtuonyeshe mikataba yote ya uchimbaji wa gesi songosongo na Mtwara! waache blah blah ya mambo yasiyowahusu na yasiyo ya lazima. Hapa hatuimbi taarabu!
 
Last edited by a moderator:
Nikiri wazi kwamba sijamsikia Dk akikiri kwamba ni kweli amekopa hela ya chama kwa matumizi binafsi.Lakini nimesoma kwenye vyombo vya habari kwamba amekiri kwamba amekopa lakini sio shilingi milioni 140 kama ilivyodaiwa awali,bali ni shilingi milion 20 tu.Nikiri pia kwamba mimi ni CHADEMA damu na nina kadi .Lakini suala la katibu mkuu wa chama kukopa hela ya chama kwa matumizi binafsi sio sahihi.Najua watu mtapinga lakini twende kwa hoja na tuweke ushabiki pembeni.Fedha za chama iwe ni kutokana na ruzuku au vyanzo vingine vya mapato inapaswa kutumika kwa manufaa ya chama na sio kwa matumizi binasfi, hata kama kuna makubaliano ya kurudishwa baadaye.
Kuna taasisi nyingi ambazo zinatoa mikopo kwa watu binafsi na kwa makampuni.Sitaki kuamini kwamba Dr alijaribu kufanya hivyo akashindwa.Hili suala kama ni kweli linatia doa moja kwa moja chama chetu na tunawapa CCM cha kusema.Imefika wakati tujaribu kusimamia ukweli na sio kushabikia.Dr sio Mungu, ni banadamu na anweza kukosea.Katika hili yeye na viongozi wengine walioruhusu hili (kama ni kweli wamekosea ).Kwa vile imeshatokea nitoe wito kwa viongozi wa chama kuwa makini katika kila jambo wanalofanya ili kuepuka maigogoro na malumbano yasio ya lazima.
Naomba kuwakilisha!
 
Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?

CC Tendwa,Utoh

Slaa ni mfanyakazi wa Chadema....na matumizi ya ruzuki ni kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama, sasa mfanyakazi akikopa mshahara wake kuna tatizo gani? acheni ujinga...watz wanataka kujua mantimiza vipi ahadi zenu za kujenga reli mpya ya kati, ya kununua meli mpya ziwa victori,tanganyika na nyasa, ya kujenga machinga complex mbili katika wailaya za Nyamagana,Ilemela,Temeke, Kinondoni na Ilala...sio majungu.
 
Lakini si ni million 20 tu jamani...sio kama masalia wanaodai ni milion 140.
 
na kama cha kimeamua kuinvest kwenye kutoa mikopo ili kujipatia faidi kwa maendeleo zaidi??
 
Lakini si ni million 20 tu jamani...sio kama masalia wanaodai ni milion 140.
ni sawa elungata ...suala hapa ni taratibu,inakuaje chama kinakopesha hela viongozi,kwa nini asingeenda kukopa hela bank...Dr ni mtu maarufu na reputable sidhani kama anaweza kosa hela bank
 
Back
Top Bottom