Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

We baba wewe loh huoni hata aibu yaani umempotezea mwenzio 6 yrs halafu leo ndo unamuona mfupi? Ukiona hivi ujue tayari umepata mrefu unatafuta justification ya kumuacha dada wa watu.pole zako mpambanaji alumni wa Mzumbe[emoji1787]
Hicho kidemu kifupi kimempendea jamaa urefu ndo mana kinamuhonga jamaa ili asimuache. Sema jamaa kakaa na e miaka 6 kwa sababu ya slopu. Jamaa amuache tu akatafute size yake. Sema videmu navyo vina matatizo.
 
Hapana mkuu,,ku conceive anaweza nina uhakika wa hilo,,ufupi wake siyo kwamba ni mfupi sanaaa,,ana futi 5.4 tu.
Unajikuta nani kwani we jamaa?
Umeshampima na futi na point?
Aiseeeeeh.
Mungu nitengenezee huyu kiumbe.
Ameen!!
 
I for ONE.
HUSTAHILI KUMUOA HUYU DADA!!

ATAKUWA SALAMA SANA SANA SANA UKIMUACHA.
TAFADHALI NAKUOMBA USIMUOE.
ni mfupi, hamlimgani kimo, ni kweli sio type yako.
MUACHE pls.
Namuombea Muacho mmoja safi sana.
Pls.
Dump her.
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Mkuu, una umri gani?
Naona kama hujitambui bado.
Hiyo sabb yako ya kusita ni ya kijinga mno!!!
 
Yaan una miaka sita hujaona kama hyo kitu ni upungufu leo unataka kuoa ndo unaona ni mapungufu
Yuu S.t.u.p.id...
 
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
Yaan kaniudhi utasema huyo dada namfahamu
Na ana miaka nae sita imagine
 
Tafuta mwanamke mrefu halafu naye uje useme ana miguu mibaya...
 
Mtoa mada hebu kuwa siriasi na maisha,Huyo mdada alivyokuvumilia kipindi chote icho bado unamuona hafai,Huyo aliyekuvumilia ndio wako wa maisha,sasa neng'eneka uje upate akina Zai wa kijiwe nongwa ndio utakapoona
 
Waleta nyuzi wa hii wiki nahisi tungegahamu wanako tokea kwanza ndio tuendelee.

Unaweza ukakuta watu ni milembe day alafu sisi tunahangaika tu.

Sasa wewe jifanye mwamba iachie hio pisi, kwanza sorry hii haiwezi ikawa pisi, huyu ni wife material mwache aondoke then utakuja kutusimulia nyuzi nyingi Kama kukata tamaa za koua nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom