Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Nianze kisema tu kuwa ww hujielew pili hujui vigezo vya mke bora kwan ulivyomtongoza mara ya kwnz hukuona km ni mfup!!!ushamgeuza bint wa watu miaka 6 leo unakuja kuongea ujinga aseh shida mnataka kuoa wanawake kwajil ya kufurahisha macho ya watu na sio kwa faida yako ww hujawai kukutana na kicheche niishie tu kusema acha utoto na ujinga
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
**** wee
 
Sitokaa nioe: Hawa wanawake tulioambiwa tuishi nao kwa akili hawafai hata kuishi nao
 
Better you leave her alone.

Huko mbele utakuja kuona kasoro zaidi ya hiyo maana moyo wako haupo naye tena.

Hiyo miaka yake sita uliyompotezea Mungu atamlipa.
 
Nimekupata mkuu
Mtoa mada hebu kuwa siriasi na maisha,Huyo mdada alivyokuvumilia kipindi chote icho bado unamuona hafai,Huyo aliyekuvumilia ndio wako wa maisha,sasa neng'eneka uje upate akina Zai wa kijiwe nongwa ndio utakapoona
 
I for ONE.
HUSTAHILI KUMUOA HUYU DADA!!

ATAKUWA SALAMA SANA SANA SANA UKIMUACHA.
TAFADHALI NAKUOMBA USIMUOE.
ni mfupi, hamlimgani kimo, ni kweli sio type yako.
MUACHE pls.
Namuombea Muacho mmoja safi sana.
Pls.
Dump her.
No katoa hoja yake binafsi nilipata shida kama yake tena kwa warembo wawili wakiwa bikra mmoja form six na mwingine form 4 by then walienda wote Chuo but niligoma kuendelea nao sababu ya kimo lakin mpaka leo ni washikaj kinoma na tayari walishaolewa na ndoa zao
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Yaaani unasita kumuoa mke aliekamilika namna hii kisa mfupi??? Muache mkuu utakuja kukutana na specie unayoitafuta
 
Watu hawajapitia hii..labda nitulize kichwa sana,,sijui amenenepa now ndio mana namuona mfupi??nakuwa mzito huo ndio ukweli

Huyo ni mtu sahihi kwako,uamuzi ni wa kwako pia.
 
Watu hawajapitia hii..labda nitulize kichwa sana,,sijui amenenepa now ndio mana namuona mfupi??nakuwa mzito huo ndio ukweli
Mkuu siwezi sema chochote lakini mimi nilisimama na misimamo yangu sikutaka mke mfupi
 
We kama unaona ufupi kikwazo muache aende zake .ila baadae ndo utakuja kumbuka
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Kusaliti mpenzi ni hulka ya mtu na mtu, kama moyo wako unaridhia kuwa naye mchukue ila kama unasita achana naye, usimpotezee muda.
 
Itoshe kusema,hiki nilichokiandika sicho nilichokusudia kukujibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom