Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Wakuu habar zenu!
Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish p
Yaani wewe ni me mwenye akili ya Ke
 
KAMWE USIMWACHE HUYO BINTI!!!!!!
Hayo mengine ni porojo zako bwana mdogo
 
Huenda jamaa ana sababu za msingi, labda bibie ni mfupi sana kana kwamba hawezi ku conceive!!! Na huenda mwamba alikua hajui ndani ya miaka yote 6, lakini hili lina solution.

Lakini yawezekana kuna underlying reason alafu hilo la ufupi ni sababu ya kutafutia gear[emoji28]. Lakini kama utakuja kumuacha huyo bibie usimwambie sababu ni ufupi tafadhali!!! Utashusha self esteem yake to - 100 alafu ni kitu asichoweza kujibadilisha[emoji23][emoji119].
 
Huo ufupi ndo umeuona kipindi hiki bro?? 6yrs umeikula mbususu yake leo umeichoka unatafuta kisingizio....Muoe tu hakuna mkamilifu.
 
Nimecheka sana, jamaa analalamikia ufupi.

Mzee hujakutana na watu malaya wewe, yani ndani ya ndoa na mtu ni malaya kweli kweli. Yani unamla usiku kwa nguvu zako zote, ukiondoka kwenda kazini anaenda kwa mwingine kuchezea pipe.

Hivyo vi sababu uchwara achana navyo, wewe ni mrefu so tayari kuna balance hapo.
 
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
Uzi uishie hapa.
 
Nimecheka sana, jamaa analalamikia ufupi.

Mzee hujakutana na watu malaya wewe, yani ndani ya ndoa na mtu ni malaya kweli kweli. Yani unamla usiku kwa nguvu zako zote, ukiondoka kwenda kazini anaenda kwa mwingine kuchezea pipe.

Hivyo vi sababu uchwara achana navyo, wewe ni mrefu so tayari kuna balance hapo.
"Yani unamla usiku kwa nguvu zako zote, ukiondoka kwenda kazini anaenda kwa mwingine kuchezea pipe."

Labda anataka kuoa malaika...[emoji16]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom