Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Kwenye beya langu lilipo ishia na yeye anaishia hapo hapo
Zawadi haiji mara mbili, mimi ni mfupi lakini wife wangu ni mfupi zaidi,mwanzo na mimi nilikuwa na mawazo kama yako.
Lakini kwa sasa nafutahia kuwa naye na sifa zake kama ulizotaja hapo juu.Sina stress namshukuru sana Mungu
 
We jamaa bado nakufikiria sana wanamke saiv wanaojua thamani ya mwanaume au thamani ya kusaidizana ni wachache wengi wao uhudumie kila kitu hata kama nae anaproduce bro utakumbuka hii thread ulioleta. Hivi petrol unauzwa shingapi sikuizi nakuona unaunguzwa kaka

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
MIAKA 6 upo nae leo ndo Unamuona Binti wa watu mfupi.. Ukimuacha kisa hiyo sababu ya Kifalaaa Akurogee uwe mwehuu tuuu maana mpaka sasa ushaanza kuonesha dalili ya ukichaaa..!! Shwain
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Wewe unajiona ni mzima???? Wenzio wanalia hapa wanawake zao malayaa...wachafuu wanashinda tu nyumbani hawataki kazi wewe umeishi na mwanamke miaka yote hiyo leo unaanza kumtoa kasoro za kipuuzi mwanamkw mwenye sifa zote nzuri.. Hao warefu hukuwaona??? Hivi huwaga mnajiuliza kweli kama angekuwa dada ako miaka 6 leo anaachwa kisa ufupi angejisikiaje???
 
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
😀😀😀
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Idiot
 
Kwanza Mambo kama haya hutokea hasa pale unapotaka kuoa/kuolewa.

Kuna vikasoro flan hiv lazima uvitoe.

Ni hii ni kawaida Papaa kwasababu hauoi Malaika.

Ww angalia upande mzur zaid wa huyo Mwanamke, na bahat nzuri ww umeshauona.
Hiyo ni ishara tosha kuwa ni mke mwema kwako.

Nakushauri umuoe, kwasababu hata ww una kasoro ndogo ambayo na yeye anakuvumilia. Kwahiyo usiwe mbinafsi.

Oa papaa.

" We are all different, and that is why we are the same" - Unknown .

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?

Cc [mention]Everglow [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
Itakuwa alipungua urefu ghafla!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom