Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
1,012
Reaction score
812
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
 
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
 
Yaani wewe unalilia kimo??
Hamna muoaji hapa
Hata ukipata wa kimo unachotaka hutooa utaona kasoro nyingine
 
Inatafuta visingizio tu, kwanza wafupi Wana raha yake vina usumbufu flani wenye kuleta raha ukimuweka hivi anaruka kdg, unamrudisha anaelewa mara karuka tena (yaani ni raha sana)

Mtu anapambana, uhakika wa kutunza familia we ukiwa alosto upo unataka nini mrefu na msaliti ama mrefu na goigoi
 
Wakuu habar zenu!
Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo mzumbe,,alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?
Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Jaribu kwenda kwa wenye futi sita halafu unakuta hawana sifa hizo ulizozitaja, kama mnapendana na unaona anasifa zote kuwa mke na mama bora, usimpotezee muda binti wa watu ukizingatia amepambana kwenye shida na nyakati ngumu, mark my words usipomuoa huyo binti utakuja kujuta
 
We baba wewe loh huoni hata aibu yaani umempotezea mwenzio 6 yrs halafu leo ndo unamuona mfupi? Ukiona hivi ujue tayari umepata mrefu unatafuta justification ya kumuacha dada wa watu.pole zako mpambanaji alumni wa Mzumbe🤣
 
Wakuu habar zenu!
Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo mzumbe,,alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?
Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
😆😆😆😆nimekuja nakimbia najua sifa gan sjui,yan wanawake tusemwe kwa kuchagua hvyo hadi nyie😅😅😅kwel we bazazi aisee huo ufup umeuona baada ya kufanikiwa😏😏😏
 
Hapa nimetafakari mkuu.
Usaliti uko pale pale hata uoe katuni wa kuchora, utachepuka kisha utarudi nyumbani…. huyo ni mke kwa ajili ya maisha yako na familia yako wala sio kwa ajili ya ngono tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom