Eee!!!.Ngoja wamchakate kwa matungulii
Unataka height ipi sasa mlingane urefu au? mana begani sion kama ni mfupi sana kwakoKwenye beya langu lilipo ishia na yeye anaishia hapo hapo
Sawa endelea kuchagua mzee babaSiyo sifa muhimu,,,ila kumbe kuna umuhimu wake mkuu
[emoji16]na wanawake warefu hawataki wanaume wafupi[emoji3],kazi kwakeKumbe hata wewe mfupi tuu,asa unataka uoe mwanamke anayekuzidi urefu ama?
Ndo mara ya kwanza kusikia mwanaume analalamikia ufupi wa mwanamke.Huna akili mzee kimo ni issue gani kwani.
Oa huyo
Kwanza Mambo kama haya hutokea hasa pale unapotaka kuoa/kuolewa.
Kuna vikasoro flan hiv lazima uvitoe.
Ni hii ni kawaida Papaa kwasababu hauoi Malaika.
Ww angalia upande mzur zaid wa huyo Mwanamke, na bahat nzuri ww umeshauona.
Hiyo ni ishara tosha kuwa ni mke mwema kwako.
Nakushauri umuoe, kwasababu hata ww una kasoro ndogo ambayo na yeye anakuvumilia. Kwahiyo usiwe mbinafsi.
Oa papaa.
" We are all different, and that is why we are the same" - Unknown .
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Afu ubaya demu akikupenda ukadharau mkaachana anapata mtu wanayeendana anakusahau kabisa.Siku ukikutana na vicheche ndio utaelewa, endelea kumpotezea muda mtoto wa watu, karma will hunt you for the rest of your life
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwanza hashauriwi kumuachaHuenda jamaa ana sababu za msingi, labda bibie ni mfupi sana kana kwamba hawezi ku conceive!!! Na huenda mwamba alikua hajui ndani ya miaka yote 6, lakini hili lina solution.
Lakini yawezekana kuna underlying reason alafu hilo la ufupi ni sababu ya kutafutia gear[emoji28]. Lakini kama utakuja kumuacha huyo bibie usimwambie sababu ni ufupi tafadhali!!! Utashusha self esteem yake to - 100 alafu ni kitu asichoweza kujibadilisha[emoji23][emoji119].