Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Mkuu huyu mwanamke ni wa kuoa. Yaani hili la ufupi wake tu ndiyo likufanye umuache!? Unajitafutia mabalaa na laana ya Mwenyezi Mungu. MUOE MKUU.

Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
 
Karibu milembe chizi wewe
 
Hapana mkuu,,ku conceive anaweza nina uhakika wa hilo,,ufupi wake siyo kwamba ni mfupi sanaaa,,ana futi 5.4 tu.
Huenda jamaa ana sababu za msingi, labda bibie ni mfupi sana kana kwamba hawezi ku conceive!!! Na huenda mwamba alikua hajui ndani ya miaka yote 6, lakini hili lina solution.

Lakini yawezekana kuna underlying reason alafu hilo la ufupi ni sababu ya kutafutia gear[emoji28]. Lakini kama utakuja kumuacha huyo bibie usimwambie sababu ni ufupi tafadhali!!! Utashusha self esteem yake to - 100 alafu ni kitu asichoweza kujibadilisha[emoji23][emoji119].
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Unalalamika kwamba demu wako ni mfupi ndio unaona utateseka so unafikiria kumuacha.

I'm sorry ila We ni poyoyo.
 
Nimekupata mkuu
Mkuu huyu mwanamke ni wa kuoa. Yaani hili la ufupi wake tu ndiyo likufanye umuache!? Unajitafutia mabalaa na laana ya Mwenyezi Mungu. MUOE MKUU.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
We baba wewe loh huoni hata aibu yaani umempotezea mwenzio 6 yrs halafu leo ndo unamuona mfupi? Ukiona hivi ujue tayari umepata mrefu unatafuta justification ya kumuacha dada wa watu.pole zako mpambanaji alumni wa Mzumbe[emoji1787]
Huyu mtoa maada nikikutana naye namuwasha vibao....
 
Hiki ndicho lengo langu..nikazan ningepata rejea wakuu humu mana watu tunajifunza pia kwa wengine na ku apply kwetu,,lakini daah nimekutana na moto humu japo wapo walio sema kitu nikaelewa.ngoja nipitie mdogo mdogo.
Usioe mtu ambaye nafsi haijaridhia kwa dhati. Itakusumbua sana mbeleni huko
 
Mtoa mada unapaswa KUFUNGWA JIWE ZITO KIFUANI UTUPWE BAHARINI...wenzako tunawatafuta hao ww unataka kuchezea bahati?
 
watu wa aina hii napendekeza wakusanywe wauwawe mbele ya kadamnasi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji851]
 
Mwambie Huyu Namshangaa sana Katia katisheka kaanza kuona Kasoro... Utafikiri Huyo Dada Kajiumba..
Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.

Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.

Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.

Wewe kuna unalolitafuta.... wewe muache huyo mwanamke utakuja kujuta....
 
Umri wako haswa wewe ukoje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom