wanawake wanaojidai hawataki waname wafupi ni miaka 25 kwenda chini sababu ya market yao inakuwa juu kuringa ringa kiburi cha uzuri ,jumlisha utoto ila baada ya hapo hawachagui ,ukiona anasema hataki mwana mme mfupi ni mwongo.Hakuna mwanamke asiye taka kupata heshima ya ndoa ,mengine ni kuongea kujifurahisha nafsi watu wamsikie.Chamsingi mwanamme mfupi anayevjitambua .wanawake wakuwa very desparate above 30 kama hajapata mume[emoji16]na wanawake warefu hawataki wanaume wafupi[emoji3],kazi kwake