Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Sifa moja inanifanya nione uzito kumuoa

Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Kama unataka aliyekamilika umba wako,Mungu amemuumba kila mtu kwa namna yake,vipi kama angekuwa mrefu lakini sura kama ya babu yako?(utani kidogo)
Wenzio walichagua urefu na sura wakaishia kulia hapa jukwaani.Huyo ni wife material oa,utakuja juta.
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Katika sifa za mwanamke bora kuoa, ufupi au urefu wake sio sifa muhimu. Sijui upewe nini ndugu.
 
Aiseeh maisha iko speed sana

Yani hakuna kitu naepuka kama kupoteza wangu au wa mtoto wa mtu
Umeona eenhh??!!!.Huyu jamaa Anataka kurogwa sio bure.Mtoto wa watu umpotezee muda wote huo kweli halafu akuache tu?!!!.
 
M naona hiyo sio sababu ya msingi kikubwa unachotakiwa kujua ni kwamba huwezi mpata ambaye amekamilika kila idara otherwise uumbe wa kwako,kiufupi tunaishi kwa kuvumiliana na kukubaliana na hali na tambua kuwa pia wewe anakuvumilia, unadhani hatongozwi na wanaume wa maana zaidi yako?
 
Mkuu km vipi nipe Namba yake ya simu, Mimi nikusaidie kuoa huyo ili isionekane kuwa ulimpotezea muda, halafu wewe nenda ukatafute warefu.
 
Kichwa yako iko na mtindio wa ubongo mkuu,,,,
Hapo unakosoa uumbaji wa Mungu lakini pia umepotezea muda dada wa watu.
6 years leo ndo unagundua kuwa mfupi,,,,
Mwenyezi Mungu akuponye.
 
Haya kila la heri Mkuu. Wanawake kama huyu ni NADRA sana kuwapata Tanzania. Pale alipojua umefulia angeingia mitini ili kutafuta njemba mwingine aliye vizuri mifukoni lakini hakufanya hivyo akaamua kupambana kwa ajili yenu wote Mkuu.

Nimekupata mkuu
 
Mijini mengine inatia hasira, ati mfupi sasa nenda katafute huyu wa futi saba halafu uje ulie na kuomba ushauri baadae. Mwehu mmoja kuna mambo mengine sio ya kuwaambia watu acha ujinga muungwana.
 
Nitatukana humu nipewe ban buree!!! Omba mod afute hii post inakushushia heshima wewe aseee!!!
 
Wakuu habar zenu!

Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya kazi,,asiye jali elimu yake..ni mtu aliye tayal kuteseka kwa ajili ya maisha yake niseme yetu pia mna tunaish pamoja..kuna kupind nilikwenda kuongeza elimu mshahara ukaleta utata,,alipambana kwa nguv zote kujishugukisha na biashara ndogo ndogo achilia mbali elimu yake ya bachelor aliyo pata hapo Mzumbe.

Alipambana kweli kweli ni aina ya watu unajua kabisa anafanya haya kwa upendo..mtu wa kujitoa ,wamemtafuta watu wa maana kuliko hata mm lakini wapi kipind niko masomoni hali ngum..kufupisha story wazee ajabu sasa hiv kuna sifa naiona kila wakati inanisumbua ya ufup,japo ni mtu wa wasitani fut kama 5 hiv na point...naona kama itanitesa na ukizingatia nikiifunga na ndoa itakuwaje?

Wenzangu mpo mlikutana na kitu kama hiki hata kama hakifanani lakini kina mlengo kama wangu..je nichukue ile kauli hakuna aliye kamilika mana hata mm ninamapungufu yangu,,kayavumilia..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
Daah dodo kwenye mchongoma halafu unaliacha, wakati si wengine tokea tuanze kudate hatujapewa hata pipi ya kifua, tupunguze ukali wa mafua.

Mwache huyo halafu ukutane kichomi naona akili itakukaa vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom