Jamaa miyeyusho sana.Mwambie Huyu Namshangaa sana Katia katisheka kaanza kuona Kasoro... Utafikiri Huyo Dada Kajiumba..
Kwa nilivoelewa unataka tukutabirie kama utasaliti au lah??..je huko mbele sitaweza kuwa msaliti nikikutana na saizi niitakayo???
Ushauri wenu wakuuu.
hapana mkuu sina maana hiyoKwamba ke ndio tuna akili za mtoa mada
Sasa nani atamuoa mkuu ?Kiukweli mtoa mada achana na hili swala kuoa halikufai, huyo dada atakuwa salama zaidi asipoolewa na wewe.
Hapa umenena kweliKiukweli mtoa mada achana na hili swala kuoa halikufai, huyo dada atakuwa salama zaidi asipoolewa na wewe.
Alivyokuwa amepagawa miaka 6 yote alikuwa hakioni kimo chake...Binadamu ni kiumbe complicated sana. Ni ngumu kujua atakacho.
Wenzio wanalia na usaliti kwenye mahusiano, wengine gubu na kiburi, wewe unalalamikia ufupi wake.
Broh, wakati unamtongoza alikuwa na kimo gani? Au kawa mfupi ghafla ulipoonesha dalili za kutaka kumuoa?
Nini shida sasa chief?[emoji28]Hapana mkuu,,ku conceive anaweza nina uhakika wa hilo,,ufupi wake siyo kwamba ni mfupi sanaaa,,ana futi 5.4 tu.
Atapata ndugu, kwani kuna mtu alishawahi kukosa wa kumuoa au kuolewa nae? Mi naamini kabisa hakuna ila machaguo tu ndio yanayowakosesha watu wenza.Sasa nani atamuoa mkuu ?