Naamini vishasoma hii habari maana vingi viko humu humu............... LOL
yaani hawa wananitafutia balaa, sasa sijui ni ushauri gani huo.Kwani siku hizi bunduki inamtishia nyau mchina mwenye mkanda mweusi?
Babu DC 2014!!
Mh, makubwa haya.............Aisee... nilikuwa nashangaa kwa nini miss chagga amenisisitiza gafla nimtafutie chumba huku mikoani!!!
Huyo mwanajeshi anapatikana wapi na me niende...
Hata simuelewi maana namuona ana katoto ka kike ka miaka 8 lakini mumewe sijawahi kumuona na hako katoto kanawaonea watoto wa mtaani kwetu kwa kuwapiga karate
Halafu wewe nimekumaindi ile mbaya, ole wako ukatize anga zangu nitakupiga mitama..... LOL
Hawa wanawake wa JF wanapenda sana kushadadia shari hasa pale wanaume wanapotishiwa usalama na wanawake wenzao...
Si unamuona huyu snowhite, simpendi siku hizi kutokana na tabia yake ya mfumo jike
Mtambuzi hebu fikiria fikiria ni wapi uliangukia wiki za karibuni na ni siku gani ulirudi na harufu ya perfume ya kike au na alama za lipstick kwenye shati lako siku za karibuni
Au ni lini ulichelewa sana kurudi na ulipoulizwa ukajichanganya changanya hukuwa na majibu yanayoeweka
Kama yote hayo hayapo mwache tuu aendelee na mazoezi anajiweka fit tuu kuondoa manyama uzembe
yan mtu unaanzaje sasa kusonga ugali kama huna njaa! Mtambuzi kaharibu hiv karibuni!Mtambuzi hebu fikiria fikiria ni wapi uliangukia wiki za karibuni na ni siku gani ulirudi na harufu ya perfume ya kike au na alama za lipstick kwenye shati lako siku za karibuni
Au ni lini ulichelewa sana kurudi na ulipoulizwa ukajichanganya changanya hukuwa na majibu yanayoeweka
Kama yote hayo hayapo mwache tuu aendelee na mazoezi anajiweka fit tuu kuondoa manyama uzembe
Babu DC naomba kwanza nikutakie heri ya mwaka mpya naamini ulivuka salamaUmesahau kaka...bado kuna chance kubwa ya ajali kutokea huko mbeleni hata kama bado ni mzima na kila kitu kiko sealed.
Akikaa kimya leo ndo hivyo tena...ikitokea ajali hata ICU hatafika!
Babu DC!!
snowhite sasa hata kama kuna sehem Mtambuzi kashaharibu si Mama Ngina aseme kuliko kumuendea mtu kwenye mazoezi kimya kimya bila taarifa aiseyan mtu unaanzaje sasa kusonga ugali kama huna njaa! Mtambuzi kaharibu hiv karibuni!
halafu nilichompendea mama ngina wala hahahangaiki nae!
ye chuuuum kwa mjeshi!
jipeni tu moyo kuwa anatoa nyama zembe!