Sielewi Mama Ngina anataka kufanya nini...!

Sielewi Mama Ngina anataka kufanya nini...!

Shikamoo kaka Mtambuzi!

Back to topic: Anza kumpiga biti kuwa ni vizuri anafanya mazoezi anakukumbusha miaka ya 80 ulipokuwa JKT wewe ndiyo uliteuliwa kuwa instructor wa JUDO na KARATE kwani ulipohitimu kidato cha sita na kwenda Tanga, kuna mchina aliyekuwa akifanya kazi bandari alikufundisha.

Usisahau ku-google terminologies kadhaa za kumzugia!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh Mpwa tumeshafika, wengine wako nhjiani, hatuwezi kukuangusha hata kidogo. Mimi nakuwa kwenye wakati mgumu wa kushauri ukizangatia Mama Ngina wako ni dada yangu kwahio ushauri wowote utakuwa negative kwake, sasa nikushauri wewe? au niuchune dada aendelee ndio hapo napata kigugumizi. Pengine nishauri tu kuwa waweza nunua kile kidubwana Yule Msomali wa Simba anachokitundikaga hapa kiunoni, Sijui kinaitwa -Ki-Rage au Ki-Mushi Masawe au manati ya kizungu ila usikiweke zile goroli, siku ya siku tafrani ikitokea unakitoa kile hahahaaaa huku moyoni unajua kuwa ni Toy....amani lazima Irudi..........
Wewe najua kabisa hunitakii mema na ndio maana unachekelea, hii thread nilijua watakuja wanaume wenzangu humu kunipa ushauri lakini wote wameingia mitini, kina Asprin, Ruttashobolwa, EMT, BAK, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, Filipo, Arushaone, Mzee wa Rula, PakaJimmy, LiverpoolFC, Mr Rocky, Mungi, Elli, Bujibuji, Mentor na wengine sijui wako wapi..............
 
Usitishike...huu ndo muda wako wa kununua gun km wachaga...na hakikisha kila anaporudi kutoka mazoezini anakukuta una iosha bastola yako na kuijaza risasi....😜
 
Hahaha babu usimtishe paw wangu buree. Mi nna ak47. Afu majuzi nimemsikia anaongelea sijui leseni ya silaha, UN inabidi ipunguze majeshi ya sudani ya kusini wengine waje wakakae uani kwetu. Vita inanukia

Huu mwaka sasa unaanza ndivyo sivyo....na hiyo avatar ndiyo inatoa ujumbe wa kutisha..lol!!

Halafu kila ninaye msoma kutoka upande wa pili naona anafurahi na kushangilia!

Hivi kuna raha yoyoe kushuhudia au kufanya shari??....Nauliza tu mwenzenu....

Babu DC wa 2014!!
 
Hahaha katika aina zote za mazoezi achague karate lol...

Stuka besti babayo anaandaliwa kuwa asusa ya Mama Ngina...
wacha afanywe mshikaki kwanza akili imkae mtani!
 
Shikamoo kaka Mtambuzi!

Back to topic: Anza kumpiga biti kuwa ni vizuri anafanya mazoezi anakukumbusha miaka ya 80 ulipokuwa JKT wewe ndiyo uliteuliwa kuwa instructor wa JUDO na KARATE kwani ulipohitimu kidato cha sita na kwenda Tanga, kuna mchina aliyekuwa akifanya kazi bandari alikufundisha.

Usisahau ku-google terminologies kadhaa za kumzugia!!!
Kaka siyo rahisi namna hiyo, watu wanaocheza karate wanajua sana saikolojia, kama ulikuwa hujui..........
 
Duh Mpwa tumeshafika, wengine wako nhjiani, hatuwezi kukuangusha hata kidogo. Mimi nakuwa kwenye wakati mgumu wa kushauri ukizangatia Mama Ngina wako ni dada yangu kwahio ushauri wowote utakuwa negative kwake, sasa nikushauri wewe? au niuchune dada aendelee ndio hapo napata kigugumizi. Pengine nishauri tu kuwa waweza nunua kile kidubwana Yule Msomali wa Simba anachokitundikaga hapa kiunoni, Sijui kinaitwa -Ki-Rage au Ki-Mushi Masawe au manati ya kizungu ila usikiweke zile goroli, siku ya siku tafrani ikitokea unakitoa kile hahahaaaa huku moyoni unajua kuwa ni Toy....amani lazima Irudi..........

Kwani siku hizi bunduki inamtishia nyau mchina mwenye mkanda mweusi?

Babu DC 2014!!
 
Huu mwaka sasa unaanza ndivyo sivyo....na hiyo avatar ndiyo inatoa ujumbe wa kutisha..lol!!

Halafu kila ninaye msoma kutoka upande wa pili naona anafurahi na kushangilia!

Hivi kuna raha yoyoe kushuhudia au kufanya shari??....Nauliza tu mwenzenu....

Babu DC wa 2014!!
Hawa wanawake wa JF wanapenda sana kushadadia shari hasa pale wanaume wanapotishiwa usalama na wanawake wenzao...
Si unamuona huyu snowhite, simpendi siku hizi kutokana na tabia yake ya mfumo jike
 
Last edited by a moderator:
Babu Mtambuzi huyo mama Mwanajeshi ameolewa?
Hata simuelewi maana namuona ana katoto ka kike ka miaka 8 lakini mumewe sijawahi kumuona na hako katoto kanawaonea watoto wa mtaani kwetu kwa kuwapiga karate
 
nakuchuki sana siku hizi maana hunitakii mema, ndio maana nikakusuta siku zile..........
ahhahahahahhaha kelele za chura hizo!
sie ndo twaenda kwa mjeshi!
kwanza sina haja ya number ya mama ngina kufika kwa mjeshi!
nikianzia relini tu kuuliza nafika!
UTIJEI JEI!
 
ahhahahahahhaha kelele za chura hizo!
sie ndo twaenda kwa mjeshi!
kwanza sina haja ya number ya mama ngina kufika kwa mjeshi!
nikianzia relini tu kuuliza nafika!
UTIJEI JEI!
Haaaaaaaaa.... Nshajua ni King'asti kakuelekeza nyumbani kwangu, huyu binti ana balaa huyu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, hiyo ni kimya kimya mkuu, tena hata taarifa hajakupa, tegemea matokeo makubwa sasa #BRN #
 
Back
Top Bottom