Sielewi Mama Ngina anataka kufanya nini...!

Sielewi Mama Ngina anataka kufanya nini...!

Mkubwa Mtembezi na wewe jiunge na klabu ya riadha ufanye mazoezi ya mbio.
 
kaka Mtambuzi nawe tafuta kijiwe ukajifunze hata ngumi .za mtaani,wajua wacheza karate wahazijui .za mtaani....
 
Last edited by a moderator:
Nakuhakikishia Baba ngina kuna siku utakula vitasa vya uso kutoka kwa Mama ngina
 
Hahaha,mkataze mkuu,asije kuvunjjia heshima,af mwanamke kukomaza mikono na karate inahuu...si mara mia afanye Yoga
 
wacha weeee!!kumbe wameuwawa
acha wafe tu maana hao kina mama c wameshindwa
kuwaonya hao watoto wao,wasicheze na wananchi wenye hasira zetu bana!!
 
Big up mama ngina,ukirogwa tu Ambiere Mtambuzi kumtafutia mgombea mwenza basi mzifunge zikaze maana mkithubutu kukutwaaa!
Yetoo! Hakuna rangi mtaacha kuona
 
Last edited by a moderator:
Wewe najua kabisa hunitakii mema na ndio maana unachekelea, hii thread nilijua watakuja wanaume wenzangu humu kunipa ushauri lakini wote wameingia mitini, kina Asprin, Ruttashobolwa, EMT, BAK, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, Filipo, Arushaone, Mzee wa Rula, PakaJimmy, LiverpoolFC, Mr Rocky, Mungi, Elli, Bujibuji, Mentor na wengine sijui wako wapi..............

zile tabia zako za mwananyamala,buguruni na sinza umeanza kuzirudia ndio maana anachukua hayo mafunzo akukomeshe. ukipiga kiwi ya macho na kiatu chenyewe lazima ukivae??

shemeji piga mzigo
 
Back
Top Bottom