snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,328
Mtambuzi alipoenda kuharibu alitoa taarifa?Babu DC naomba kwanza nikutakie heri ya mwaka mpya naamini ulivuka salama
Hapo kwa kweli namhrumia Mtambuzi maana chochote kinaweza kutokea huo utaalam akiendelea kuwa nao Mama Ngie wake maana siku akirudi na majibu yasiyoeleweka au akichelewa kurudi au akirudi na alama za lipstick ajue kuwa kibano kitamhusu na tutaenda kumuokotea ICU hajitambui
snowhite sasa hata kama kuna sehem Mtambuzi kashaharibu si Mama Ngina aseme kuliko kumuendea mtu kwenye mazoezi kimya kimya bila taarifa aise
Heri ya mwaka mpya
mwaka sio wa heri wala nini huu !
Last edited by a moderator: