Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,327
- 8,243
- Thread starter
- #21
Gari za umeme zinakuja, tatizo lililopo kwenye gari za umeme ni ENERGY STORAGE DENSITY. Energy storage ya Kilogram moja au lita moja ya petroli ni mara mia moja (100) ya energy storage ya lithium ion bettery ambazo zinatumika kwenye hayo magari ya umeme. Hiyo inamaana kwamba hizo gari kwasasa ufanisi wake hauwezi kufikia gari zinazotumia fossil fuel.HAPANA.. Tunapozungumzia SUSTAINABLE DEVELOPMENT huwezi wekeza Kwenye reversal reactions za Gas to Petroleum(liquid) while those resources are limited, non renewables and environmental pollutants. Kwa akili hizi za kumeza tu madesa hatuwezi produce kina ELON MUSK..Dunia ishabadilika magari yanaweza kua powered hata Na wind/Solar pia bado ya umeme, megawatts 2115 zinakuja be excited.
Hivyo bado ndugu utafiti unaendelea.