Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,329
8,247
OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,

Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili kujaza nafasi iliyo wazi.

Nikiwa na uelewa mkubwa katika masuala ya mafuta na gesi, na kufahamu umuhimu wa nafasi hii, nina imani kuwa ninaweza kuleta mchango mkubwa kwa maendeleo ya sekta hii muhimu.

Nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na ufanisi ili kusimamia rasilimali hizi kwa manufaa ya taifa letu.

Ninapenda kutumia fursa hii kusema kwamba nipo tayari kuchukua jukumu hili kwa uaminifu, nidhamu, na dhamira ya hali ya juu.

Naamini ninaweza kufanya kazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuleta maendeleo na ustawi wa nchi yetu.

Asante sana.

Rejea za maandiko yanayo onyesha kiu ya kuchochea maendeleo katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

1. Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi

2. Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta

3. Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

4. Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

5. Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayo

6. Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

7. Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

8. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.

9. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

10. Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati.

11. Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

12. Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

13. Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi

14. Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

15. Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

16. Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

17. Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)

18. Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

19. Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

20. An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

21. An Open Letter to President Dr. Samia Suluhu: Proposal for the Establishment of a High Education Graduates Bank (HEGB)

22. Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

23. Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

24. SoC03 - Mwarobaini wa Tatizo la Upungufu wa Maji Jijini Dar es Salaam ni Serikali yenyewe: Jukumu la Serikali na Maazimio ya Kutatua Tatizo hilo

25. SoC03 - Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

26. SoC03 - Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

27. SoC03 - Je, Serikali inawezaje Kuweka Msingi Bora kwa Vijana ili Kutengeneza Timu Bora ya Taifa itakayoweza kushiriki na kushinda michuano ya kimataifa?

28. Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

29. SoC03 - Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

30. Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

31. SoC03 - Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

32. Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

33.

34. Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

35. Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

36. Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

37. Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

38. Tukiibadilisha Gesi Asilia (CH4) iliyopatikana Tanzania kuwa Mbolea za kilimo tutainua uchumi wa nchi

39. Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi

Rejea za maandiko ya kuongeza mchango wa kukuza maarifa ya uhandisi na teknolojia ya mafuta na gesi duniani.

1. Nodal and least-cost analysis on the optimization of natural gas production system constraints to extend the plateau rate of a conceptual gas field.
Geoenergy Science and Engineering | Journal
https://www.sciencedirect.com/science/article/pii/S294989102300310X

2. Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection. Energies Journal

3. Equations governing fluid flow and transport in porous media and their applications in oil and gas production

4. Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Di

5. Shu Jiang - Scilit

6. 概念ガス田のプラトー速度を拡大するための天然ガス生産システム制約の最適化に関するノードおよび最小コスト解析【JST・京大機械翻訳】 | 文献情報 | J-GLOBAL 科学技術総合リンクセンター

Mawasiliano:
Email: tsha87916@gmail.com
 
Wewe si ulisema utagombea ubunge Songwe huko 2025 kupitia chama cha kijani?

Sasa unatuombaje humu si upenyeze kimemo kwa chief Manyama kama mnavyofanya umuambie wewe ni mzalendo uliyepiga chini scholarship ya kwenda kusoma China ili ujitengenezee barabara ya kuingia bunge la kijani 2025.

Mmeichezea sana nchi kiasi kwamba hata Kingwendu anaweza kuwa mkurugenzi wa hiyo taasisi ili mradi tu awe na kadi ya kijani na kujitoa akili tayari kwa kupokea maelekezo toka juu.
 
Hongera mkuu kwa kujitoa kimasomaso kuitaka hiyo nafasi iliyo wazi.
Kwa rais Samia huwa anapitia humu mara kwa mara, kama alivyotamka yeye mwenyewe, basi naamini ataliona ombi lako na kulifanyia kazi.
Kusema kweli una uelewa mpana sana wa masuala ya gesi na mafuta. Hongera.
 
OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,

Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili kujaza nafasi iliyo wazi.
拡大するための天然ガス生産システム制約の最適化に関するノードおよび最小コスト解析【JST・京大機械翻訳】 | 文献情報 | J-GLOBAL 科学技術総合リンクセンター
Vituko haviishagi
 
Back
Top Bottom