amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Nitag nikaone maajabu
Ngoja tu nikutag 😀😀😀
Ngoja tu nikutag 😀😀😀
Wara usijari tloubremakel, atakusaidia.
BTW: Bango la hatupokei rushwa huwa linaweza kumaanisha kwamba tunapokea rushwa kubwa tu.
Ndio ila nimeoza humu kisa na sema ukweliJamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe nakupenda hivo hivo na ukorofi wako
Hatajibu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akikujibu usisite kunijulisha. Nina haja na jibu lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikua najua wanawake wote waliopo jamiiforums si malaya.Jamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekuwa Ukiona tofauti na sisi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wachana nao hao naomba NIPOKEE PM TUYAJENGE...Jamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho kilichonikimbiza Makapuku; na Makapuku ikalega lega na hata kupoteza umaarufu. Watu wako very tight na watu wao hata ukimsalimia mtu tu unaonekana kiroja. Afadhali Sakayo angalau alikuwa akinisalimia [emoji16][emoji16][emoji16]Ahhh! Kule ambako kila mtu na mtu wake.
Halafu yule jamaa yake ana wivu sana kama mwanamke. Hataki Shunnie aguswe.
Mpaka yale mabango nafasi za kuamia zimejaa, lakini kila wiki wanafunzi wapya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakuu.
....
Nimeamua sitalazimishwa kupendwa na Nitaendelea kuwapanga Hamna namna.
Ndio kama shule vile, ukiibiwa penseli unaenda kushtaki kwa mwalimu wa darasa.
Sikujua kama na wewe uko ngangari hivi [emoji91][emoji91][emoji91]Hata mimi niliona anarekebisha watu ngeli halafu kwa kukurupuka. Basi hiyo jana aliandika phiscal appearance nikamrekebisha kwamba ni physical ugomvi ukaanzia hapo. Ila sikumuacha nikahakikisha mwisho wa ugomvi kaandika kitu kinachoeleweka.
Yaani nikikuonyesha miamala yangu ya mpesa na TigoPesa unaweza kulia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mambo kwangu sio poa mtoto mzuri.