Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,688
- 11,203
umesemaaaa😮😮😮???NAKAZIA KWA HERUFI KUBWA
umesemaaaa😮😮😮???NAKAZIA KWA HERUFI KUBWA
Na penzi la kuanza kwa mikwara ndo'huwa linadumu.Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika ovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.
Sasa Unawapangaje bila kutongozwaHiko Hivi mkuu
Unajua Kuna thread imepita hapo ambayo mimi nimeandika malalamiko yangu na kuconclude ntaanza kupanga sasa nakuta Pm nyingi zinaniona mm kama Malaya kumbe nimeeleza tu yaliyo moyoni mwangu na si kuwa nahitaji kutongozwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa Ila Faiza nina mashaka naeJamani Leo ni weekend
Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanaume siyo sisi tunaowafikiria hivyo mkuu, bali ni ninyi wenyewe wengi wenu ndiyo huwa mnajisifu humu kuwa ninyi ni malaya na mwanaume sifa yake ni umalaya.Mkuu shukuru kama member wanatembelea huko pm msimu huu corona ...
Wanawake wa huku kitu kidogo kashafungua Uzi ..na Mimi nasema wanawake wa huku msifikiri kila mwanaume wa huku ni malaya..
ebooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama hao ni wa kupuuzwa ni utoto tu unawasumbua.Alikuwa ananiquote kwa kuedit post yangu unaandika eti " wewe kaka nakupenda naomba unioe". Ila hakunitetemesha, sababu nampenda troublemaker tu naye analijua hilo
Kwani unaogopa kuolewa wakati wewe wakike?Alikuwa ananiquote kwa kuedit post yangu unaandika eti " wewe kaka nakupenda naomba unioe". Ila hakunitetemesha.
Ndio mkuuumesemaaaa[emoji50][emoji50][emoji50]???
Nasubili somo rianze.Usijali babe
Hata mimi niliona anarekebisha watu ngeli halafu kwa kukurupuka. Basi hiyo jana aliandika phiscal appearance nikamrekebisha kwamba ni physical ugomvi ukaanzia hapo. Ila sikumuacha nikahakikisha mwisho wa ugomvi kaandika kitu kinachoeleweka.Umemtolea uvivu Sasa !#Mbona atakukoma [emoji38][emoji38] Namuonaga anarekebisha watu ngeri Sasa amekutana na kisiki cha mpingo Hannah [emoji38][emoji38]
Pia wasisahau kutumia SANTAIZA aka SATINAIZA aka SANTRAIZI.Chukua tahadhari zote ikiwemo kunawa MIKONO KWA MAJI TIRIRIKA! Usisahau kutumia sabuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi kila mwanamke wa kuolewa shida ni Muda??Kwani unaogopa kuolewa wakati wewe wakike?
Jinga kweli. Kwahiyo na wewe umeanza kuedit post yangu.😂😂😂Nasubili somo rianze.
Mbona unaandika hueleweki? Zima kwanza panic mode.
Halafu hao mahandsome ndio ninaopenda wanitongoze
Mfano Jana najitongozesha kwa digba sowey baada ya kuona anaandika vizuri na ni nikijana smart sana
Badala apokee ombi langu akasema ameoa. Ila atanukubali tu.
FursaMrembo uzalendo umekushinda jamaa zangu inaonekana wanakusumbua sana huko pm? Ukaamua uwawekee na Bango kabisa.
Haka kamchezo katamu ila😂😂Jinga kweli. Kwahiyo na wewe umeanza kuedit post yangu.
Embu acha utani babe😂😂😂
Na sio kila anaesema yeye sio malaya kuwa ni kweli sio malaya. Kila mtu afate mambo yake.
Hata mimi niliona anarekebisha watu ngeli halafu kwa kukurupuka. Basi hiyo jana aliandika phiscal appearance nikamrekebisha kwamba ni physical ugomvi ukaanzia hapo. Ila sikumuacha nikahakikisha mwisho wa ugomvi kaandika kitu kinachoeleweka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika ovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.