Nyie wanaume mnachotufanyia sisi tuwapendao...

Nyie wanaume mnachotufanyia sisi tuwapendao...

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
388
Reaction score
602
Wakuu.

Yaani nyie wanaume mimi naona bora naendelee kuishi Maisha niliyochagua

Nawaona mmeamua kuwa pasua vichwa sio msomi, asiye na elimu hadi wa kanisani nao vile vile tu

Yaani Mtu anasema anakupenda Ila no call. text na online unamuona yupo?

Nimeamua sitalazimishwa kupendwa na Nitaendelea kuwapanga Hamna namna.
 
Shida ipo hapo kwenye sentence ya mwisho!

Kama hajakutext, wewe unaona shida gani kumtext, halafu unaweza kuta mtu yuko online lakini sio kwamba anachat au yuko kwenye mood ya kuchat!

Mpe nafasi!
 
Shida ipo hapo kwenye sentence ya mwisho!

Kama hajakutext, wewe unaona shida gani kumtext, halafu unaweza kuta mtu yuko online lakini sio kwamba anachat au yuko kwenye mood ya kuchat!

Mpe nafasi!

Hili ni tangazo, which means ana nafasi ya kutu accommodate ambao tuko tayari bila kujali idadi yetu.

Nasubiri Terms and Conditions nione kama nafit kujoin.
 
Shida ipo hapo kwenye sentence ya mwisho!

Kama hajakutext, wewe unaona shida gani kumtext, halafu unaweza kuta mtu yuko online lakini sio kwamba anachat au yuko kwenye mood ya kuchat!

Mpe nafasi!

Kwelii kabisaa Mimi naweza nikachungulia kitu watsup nikasahau kutoka Kama Ni usiku unakuta Niko online usiku kucha. Unaweza ukafikiri nachat kumbe naota Niko U.S.A nikijadiliana na Trump Mambo kadha wa kadha.
 
[emoji41]
temp3st._-20200422-0003.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom