Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,814
- 40,572
Hii kazi nimempa Hannah acha kujipendkeza.Sio "dalasa" sahihi ni "darasa"
Ahsante.
Na wewe tafuta wako umfundishe kuandika. Au umenipenda pia? Semaa.😁😁
Hii kazi nimempa Hannah acha kujipendkeza.Sio "dalasa" sahihi ni "darasa"
Ahsante.
Huyu Naye si huwa anapenda kurekebisha kila kitu au umemsahau [emoji3]Huyo kaandika hivyo kwa makusudi jamani
Ulifurahi kumsababishia ban?Haha kuna mmoja alikuwa ananieditia anaongeza maneno halafu anaweka ya kimapenzi....nikareport comment yake mod akapita nae ban ya mwezi alivyorudi akanitafuta eti nimemsababishia ban
Ha ha ha ni shida. Siwezi kosa😂😂😂😂Umenikumbusha chit chat uzi wa selfie..... Uliserereka nao mpaka mwisho 🤣🤣🤣 punguza ukorofi basi shauri yako utakosa mchumba 😂😂
Ukipenda kuwa mke wangu wa tatu, mlango uko wazi.Hii kazi nimempa Hannah acha kujipendkeza.
Na wewe tafuta wako umfundishe kuandika. Au umenipenda pia? Semaa.😁😁
Sawa mwana kiswahili,Hapa ndipo huwa unazingua na nimeshakukanya.
Sio mwalimu wa Kiswahili, bali naipenda sana lugha yangu,napenda sana kuijua ndio maana naifatilia.
Ile niliimaliza kipindi kile kile, sema ulishaamua kuwa kipofu wa moyo, macho na akili,ndio maana nikashika njia.Sawa mwana kiswahili,
Hongera kwa kazi nzuri ila ile"Na tumfanye" ulishachemka Hadi Leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupendaga sana tuu. Hata wewe ni mkorofi kwa mbaaaaaali.Ila wewe nakupenda hivo hivo na ukorofi wako
inaonekana ananipenda. Si unaona anavyonishobokea?😂Huyo kaandika hivyo kwa makusudi jamani
Sijaelewa hapa, wewe ni binti au ulikuwa unamkusudia nani hapa ?Hahaha, unataka nianze kusema unanitongoza eeh!
Ile niliimaliza kipindi kile kile, sema ulishaamua kuwa kipofu wa moyo, macho na akili,ndio maana nikashika njia.
Akuonyeshee wapi? Chumbani au peupe? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Naomba nionyeshe mimi amu
Sijaelewa hebu nifafanulie tena
Sio kweli sijawahi kuwa hivyo, kwani kujifanya kujua kila kitu ni ishara ya KUTOKUJIA.Kipofu Ni Nani Kama si wewe?
Tatizo huwa unajifanya unajua kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae umeedit comment yangu. Tangu mwanzo nimeandika Hovyo.Sio "ovyo" sahihi ni "hovyo"
Ahsante.
Hahaha, unataka nianze kusema unanitongoza eeh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki akili zenu mnazijua wenyewe, mwenzenu huyo ni mwanaume.Hii kazi nimempa Hannah acha kujipendkeza.
Na wewe tafuta wako umfundishe kuandika. Au umenipenda pia? Semaa.[emoji16][emoji16]
Kuna mengine lazima ukubali tu kuwa hujui.Sio kweli sijawahi kuwa hivyo, kwani kujifanya kujua kila kitu ni ishara ya KUTOKUJIA.
turudi sasa kwenye kwenye mada husika.