Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Hiko Hivi mkuu

Unajua Kuna thread imepita hapo ambayo mimi nimeandika malalamiko yangu na kuconclude ntaanza kupanga sasa nakuta Pm nyingi zinaniona mm kama Malaya kumbe nimeeleza tu yaliyo moyoni mwangu na si kuwa nahitaji kutongozwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...
Maisha ya mtandaoni usiyachukulie kwa uzito sana, unaweza ukavutiwa na maandiko yangu ya kujisifia kimaisha kumbe ni choka mbaya kuliko hata wewe.

Kuna wengine furaha yao ni kupinga kila kitu kiandikwacho na wengine,lengo aone mwenzie anavyo kwazika.
Hata hao wanao kuja PM kwa mitongozo sio watongozaji, wengi wao mapepo wa makwazo, nenda nao sawa utaona wanavyo pungua.
Achana na stress za mitandaoni,Corona ipo itakuchukua haraka kwa kupungukiwa na kinga ya mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiamini maneno ya huyu mama,alianza kujitongozesha kwangu nikamtolea sasa ananisakama,but kwangu hakuna shida ,yeye anichafue atakapotosha atasema.
kwamba alikua anabisha anasema ni phiscal sio physical .Dunia nyie Alaf mtu wa Lumumba(Fisiemu) yule Sishangai Sana
By the way we ni Mwalim mzuri kweli kweli
Mpaka digba sowey akaelewa somo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiamini maneno ya huyu mama,alianza kujitongozesha kwangu nikamtolea sasa ananisakama,but kwangu hakuna shida ,yeye anichafue atakapotosha atasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kututhibitishia!??
Si vizuri kuchafua image ya mtu kwa kuwa tu mmetofautiana!!

Kama huna uthibitisho baki na maneno yako ya debe tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Leo ni weekend

Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya

Sent using Jamii Forums mobile app


kwani mamaa ungekataa hukohuko kimyakimya ingekuwaje? huko mtaani kwenu kama hutongozwi jua kbs hapa jf unatongozwa vile tu ni nyuma ya keybord! ukiweka pic yako utaanza kumtafuta japo wa salam.
kwani umeolewa!?
 
Wewe ni mgumu kuelewa,Mimi ninamke na watoto ,Kama unanipenda ,nipende Kama kaka na Dada ila sio Kimapenzi,naheshimu ndoa Yangu.tafuta wengine sio Mimi Mkuu,samahani Kama nitakukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapa ndio umeandikaje "mwalimu". Nimeshajua kwanini umejiunga praise team ni kwa sababu hauna vyeti.
Hivi kweli mwalimu wa secondary anaandika hivyo?
 
Mkuu usiamini maneno ya huyu mama,alianza kujitongozesha kwangu nikamtolea sasa ananisakama,but kwangu hakuna shida ,yeye anichafue atakapotosha atasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bwanaa
Kumbe maneno yake ni maneno ya mkosaji Ausio Mzeebaba !#
Sema me nakuelewa Mkuu, Watoto humu wajigonga jonga Sana kwako
Hatari kabisa
 
Kutongozwa mbona kawaida tu kwa wanawake na wala haina uhusiano wowote na Umalaya!!

Kwani kukataa huwezi Wewe!??

Kila unachokiandika humu watu wanakichukulia kwa uzito na wewe kwenye bandiko lako uliandika kwamba umeanza "kuwapanga" Sasa utamlaumu nani na mwenyewe unajichanganya!??

Cha msingi tulia anza upya mana inaonesha leo una Stress sana ukichukulia serious kauli za humu utazidi kujiumiza tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom