Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Jamani Leo ni weekend

Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
MM NAPITA TU,,ILA USIPOTONGWA HUMU jf UTATONGOZWA HUKO MTAANI NK,KIUFUPI MWANAMKE KUTONGOZWA HAIKWEPEKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemtaja tu. Maana kwa uzi huu naona kama bado atakuja kukusumbua huko PM
 
Ila wewe nakupenda hivo hivo na ukorofi wako
Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika ovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.
 
Yule ni mwehu lifisiem MATAGA yule hawez kukuelewa
Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika ovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.

Sent by IPhone
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mgumu kuelewa,Mimi ninamke na watoto ,Kama unanipenda ,nipende Kama kaka na Dada ila sio Kimapenzi,naheshimu ndoa Yangu.tafuta wengine sio Mimi Mkuu,samahani Kama nitakukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh
Mkuu nakukubali sana ila hiki unachofanya sio fair hata kidogo.
Mbona umeedit comment ya huyo dada??
Kumbe na wewe huwa unafanya Mambo ya hovyo hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha chit chat uzi wa selfie..... Uliserereka nao mpaka mwisho 🤣🤣🤣 punguza ukorofi basi shauri yako utakosa mchumba 😂😂
Hata mimi niliona anarekebisha watu ngeli halafu kwa kukurupuka. Basi hiyo jana aliandika phiscal appearance nikamrekebisha kwamba ni physical ugomvi ukaanzia hapo. Ila sikumuacha nikahakikisha mwisho wa ugomvi kaandika kitu kinachoeleweka.
 
Back
Top Bottom