Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Mimi nijuavyo kwa mwanamke kutongozwa ni kawaida na haina maana kuwa ni malaya. Eti mleta mada - utajisikiaje umeshinda salon nywele zimetengenezwa, kucha zimepunwa unajiremba unarembeka full ulimbwende halafu unakata hata wiki bila kutongozwa. Hutajisikia vibaya kweli?

Labda kama una reputation mbaya; au watongozaji wanakuja vibaya sioni tatizo kabisa. Na mwanaume asipotongoza mnataka afanye nini? Abake?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akikujibu usisite kunijulisha. Nina haja na jibu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika ovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.
Hannah.
 
Nataka ajue mimi ni mwalimu, na nikiamua kumfundisha mtu sirudi nyuma.
Umemtolea uvivu Sasa !#Mbona atakukoma [emoji38][emoji38] Namuonaga anarekebisha watu ngeri Sasa amekutana na kisiki cha mpingo Hannah [emoji38][emoji38]
 
Hisia zangu siku zote ni kuwa wanawake waliomo jf ni wanaojitambua .

Yaani hakuna mdangaji humu.
Japo hainizuii kukujia dm na shida zangu

(Shida zangu nimpelekee nani sasa?)
Jamani Leo ni weekend

Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akikujibu usisite kunijulisha. Nina haja na jibu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiko Hivi mkuu

Unajua Kuna thread imepita hapo ambayo mimi nimeandika malalamiko yangu na kuconclude ntaanza kupanga sasa nakuta Pm nyingi zinaniona mm kama Malaya kumbe nimeeleza tu yaliyo moyoni mwangu na si kuwa nahitaji kutongozwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom