Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

Halafu hao waropokaji ndio hata hawana hadhi ya kututongoza.
Mfano Jana namfundisha digba sowey namna ya kuandika vizuri baada ya kuona anaandika ovyo bila kufuata vituo na r badala ya L na anasema yeye ni mwalimu.
Badala apokee somo langu akasema namtaka anioe. Ila atanyooka tuu.
Sio "ovyo" sahihi ni "hovyo"

Ahsante.
 
Mkitongozwa mnalalamika na kusema kwa na kusema kwamba tunawona Malaya. Msipotongozwa mnalalamika kwamba tunawaona wabaya. Mnataka tuwafanyie nini nyie viumbe msiotosheka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom