Shule hii Mbeya iko wapi?

Shule hii Mbeya iko wapi?

Mzee unasema kweli Botha alisoma iyunga?
Kipindi cha nyuma Kabla ya kuchukuliwa na serikali ya nyerere watoto wengi wa ma wazungu walisoma hpo
Hiyo ilikuwa shule haswa .....

Ova
 
Nakumbuka alihimiza tukichokozwa tukate fimbo tuchape kila mmoja kwenye mpira .
Kuna siku walikuwa wanacheza Kalobe na Nsenga basi wakaanza kupigana.... Daah Kyege akasema Iyunga tuuzime ule ugomvi daah tuliwachapa wale watoto balaa sana
 
Hawa walikuwa wengi mfano waanzilishi wa bendi ya Safari Trippers David (deceased) na Michael Gordon, Adolph Louis (deceased) na wengine.
Duh mzee sasa
Unanigusa.....
David wa changombe na Mike injinia wote rip
Baba yao....alikuwa muingereza mama yao msukuma ....mama alikuwa anaishi uk
Mama yao naye mwaka huu alizikwa
Adolph ni yule aliyekuwa mjeshi

Ova
 
Hawa walikuwa wengi mfano waanzilishi wa bendi ya Safari Trippers David (deceased) na Michael Gordon, Adolph Louis (deceased) na wengine.
Baba yao wakina Mike na David
Ni mmja wa watu waliyoipigania uanzishwaji wa chuo cha magogoni kupitia wafadhili toka
Uk

Ova
 
Hahahaa...Daaah! Naomba nijibu kwanza tumerudi nyuma.
Sie ratiba ya msosi ilikuwa kama jeshini
Toka kuamka, mnafanya usafi...mnaenda Assembly, mnaenda darasani (hapo hatujala kitu).
Tunatoka Darasani Saa Tano na Nusu asubuhi...Tunapeleka vikombe kwa ajili ya kunywa uji (na hapo uji unaweza usiupate, kuna wakt uji hautoshi, wakt kikombe kinaibiwa)...Kunywa huo uji inaweza kuwa mpaka saa sita mchana ndo tunaanza kunywa)
Saa Nane mchana tunatoka Class, ila kula msosi iliweza kutukuta mpaka Saa kumi ndo tunakula....msosi full ugali maharage, sometimes wali, sometimes makande, sometimes nyama (nyama ilikuwa mara moja au mbili kwa wiki).
Jioni ugali harage.
Noma sana.
Kwa maelezo yako naona tuliishi peponi middle school kwani swala la chakula halikuwa vichwani mwetu, kila mtu atakula bila kugombea wala kukosa. Shule tulienda na nguo zetu za kuvaa tu, mablanketi, vitanda, sahani na vikombe ni vya shule, iweje sekondari mwende na godoro, ndoo, sahani na madaftari! Mpaka namaliza sekondari madaftari na kalamu tulikuwa tunavipata shuleni kutokana na ada tuliyokuwa tunalipa. Hatukuwahi kuwa na uhaba wa walimu wa matundu ya choo! Lugha tunayoisikia siku hizo, eti choo nacho kina tundu, sijui bila tundu kitakuwaje choo!
 
Duh mzee sasa
Unanigusa.....
David wa changombe na Mike injinia wote rip
Baba yao....alikuwa muingereza mama yao msukuma ....mama alikuwa anaishi uk
Mama yao naye mwaka huu alizikwa
Adolph ni yule aliyekuwa mjeshi
Ova
Sina uhakika wa kifo cha Michael nilikuwa naye kwenye msiba wa David ingawa naye alikuwa anaumwa lakini si sana, nilikaa nao Chang'ombe tangu wako middle school Iringa.
Michael alifariki lini? Najua alikuwa injinia wa ndege za ATC.
 
Sina uhakika wa kifo cha Michael nilikuwa naye kwenye msiba wa David ingawa naye alikuwa anaumwa lakini si sana, nilikaa nao Chang'ombe tangu wako middle school Iringa.
Michael alifariki lini? Najua alikuwa injinia wa ndege za ATC.
Si changombe opposite na sigara club
Dah ila David aliumwa kwa kipindi kirefu sana
Mike amefariki naye

Ova
 
Hyo mtu nshakutana naye sana garage moja hapo soweto enzi hzo Mm chalii tu
Form 1 part time kazi yangu nlikuwa nafanya ukonda
Ilikuwa tukipwleka Gari service nkawanamkuta....alikuwaga na range ile ya kizamani nakumbka

Ova
Ile ni garage yake mkuu....mpka Leo inaendeshwa na familia yake baada ya yeye kufariki........
 
Ile ni garage yake mkuu....mpka Leo inaendeshwa na familia yake baada ya yeye kufariki........
Kuna wazungu fulani wa Danish wa danida walikuwa block t walivamiwaga ikasemekana jombi naye alihusika kwenye Tukio hilo na ilimfanya mpk akimbie nchi na kwenda Zambia...
Kumbe pale kulikuwa na cctv camera zilitegeshwa
Ni kweli alihusika?

Ova
 
Unataka kutuambia hyo shule ni meta secondary,,,,,,,mi nimesoma meta afu sifahamu kabisa hilo?
Inaelekea kina siri mkubwa kuhusu shule hii, ilikuwepo Meta girls middle school iliyotokea Loleza ikajengwa forest kutazamana na Mwanjelwa ilikuwa ni ya serikali. TAPA walikuwa na shule iliyochoka Mabatini karibu na hospitali ya Seventh Day! Kama sijakosea, picha inasogeasogea.
 
Si changombe opposite na sigara club
Dah ila David aliumwa kwa kipindi kirefu sana
Mike amefariki naye
Ova
Lini? Mwaka jana au huu? Walikuwa rafiki zangu na tuliishi wote Chang'ombe, Michael alihama akabaki David alipata stroke, tulimzika Kinondoni.
Anyway! Bad news.
 
Back
Top Bottom