Shule hii Mbeya iko wapi?

Shule hii Mbeya iko wapi?

Wanaiyunga, Sangu na Mbeya Day, mengi mliyoyaandika ni tofauti na malengo yaliyowapeleka shule, ubabe, ulevi na mademu, mliwezaje kuvimudu vitu vyote hivyo pamoja na masomo!
 
Hahhahhaaa.... Mzee bhana. Sasa unataka kufanyeje.
Ila heshima yako.. Vile unachati kama janki tu.
Ni vizuri kuweka kumbukumbu sahihi ya ulimopitia na unamopitia katika maisha, unaona sasa shule ninayoitafuta haijulikani iko wapi! Yaani majengo zikiwepo nyumba za walimu, mabweni, madarasa, jiko na stoo vimetoweka! Watu hawajui mali ya serikali imepotelea wapi! Ninaposema nilisoma hapo, hapo wapi! Mbona hakuna shule kama hiyo! Nitaonekana ninadanganya iweje shule ya serikali inayochukua wanafunzi kila mwaka ipotee! Pamoja na hayo cheti cha kumaliza darasa la nane (8) kwenye shule hiyo ninacho, nikawaida shule ya serikali kubadilika lakini inabaki kuwa ya serikali.
Ninawashukuru wote walioshiriki kwenye mada, kwenye reli (shule ninayoitafuta) na hata waliotutoa kwenye reli (Iyunga) kwani wote tumefaidika kwa kumbukumbu za ziada.
 
Ni vizuri kuweka kumbukumbu sahihi ya ulimopitia na unamopitia katika maisha, unaona sasa shule ninayoitafuta haijulikani iko wapi! Yaani majengo zikiwepo nyumba za walimu, mabweni, madarasa, jiko na stoo vimetoweka! Watu hawajui mali ya serikali imepotelea wapi! Ninaposema nilisoma hapo, hapo wapi! Mbona hakuna shule kama hiyo! Nitaonekana ninadanganya iweje shule ya serikali inayochukua wanafunzi kila mwaka ipotee! Pamoja na hayo cheti cha kumaliza darasa la nane (8) kwenye shule hiyo ninacho, nikawaida shule ya serikali kubadilika lakini inabaki kuwa ya serikali. Ninawashukuru wote walioshiriki kwenye mada, kwenye reli na hata waliotutoa kwenye reli kwani wote tumefaidika kwa kumbukumbu za ziada.
Nyerere alitaka wote tuishi kijima Mkuu..
Hakutaka matabaka ya walionacho na wasionacho. Ndio maana utaifishaji ulikithiri kipindi cha utawala wake.
 
Nyerere alitaka wote tuishi kijima Mkuu..
Hakutaka matabaka ya walionacho na wasionacho. Ndio maana utaifishaji ulikithiri kipindi cha utawala wake.
Kwahiyo alitaifisha shule ya msingi ya serikali! Mbona sielewi.
 
Hamna kaka siku hz mala inafungwa mala inafunguliwa ko siku hz tumeamishia majeshi kwenye ile bakery ya veta
Duh...
Mimi nlikuwa naishi ule mtaa ambapo nyuma yake kuna eland hotel....sjui kama bado ipo
Ila block t ni sehemu moja tulivu
Nlipoondokaga hko kitaa chote kilinimiss si kutumiwa baruaaa
Kumbe vurugu zangu nlikuwa nachangamsha mtaa

Ova
 
Meta sekondari ni ya wazazi wa CCM, ninayoitafuta lilikuwa ya serikali lilikuwa shule ya bweni na haikuwa mbali sana na uwanja wa mpira wa zamani ilitenganishwa na uwanja wa Raga (rugby). Au CCM ilichukua?
Ndiyo.
 
Wanaiyunga, Sangu na Mbeya Day, mengi mliyoyaandika ni tofauti na malengo yaliyowapeleka shule, ubabe, ulevi na mademu, mliwezaje kuvimudu vitu vyote hivyo pamoja na masomo!
Mzee wangu ubabe ,ulevi na mademu ilikuwa part tu ya hobby zetu ila kiuhalisi hizi shule watu wanapiga msuli hatari

Mfano pale iyunga kila muda watu wako class iwe vipindi au prepo watu wanasongoka balaa utadhani wametumwa kuja kusomea kijiji .

Ukiamka SAA Tisa usiku ukipata madarasani unakuta taa zinawaka na hukosi watu wanaojisomea pamoja na baridi LA mbeya lakinj wana wanakomaa hatari

Sio ajabu hizo shule kupiga div coz msuli ulipigika kweli kweli na hapo kati shule kama iyunga ilikuwa na waalimu ma expert kwenye masomo waliyofundisha kiasi kwamba wakawa wanazmwa na St fransic ,mbalizi,na st Mary mbalizi .

Ila sasa walivyoleta shule za kata iyunga ikageuka kituo cha kuzalisha ma headmaster was shule za kata .

Walimu wetu best karibia wengi wakapewa uongozi shule ikabaki na walimu wachache .

Sijui Siku hizi matokeo yao yakoje maana sijawafuatilia muda sana .

Levavi oculos
 
Back
Top Bottom