ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Sahihi kabisa ...chata zilipigwa kona zote za Mby kuanzia Mabatini,Mbaliz Road,Mafiat,Sokomatola mpaka UyoleWe jamaa na hio chata yako ya Ras Jef Kapita ilitapakaa kuta zote za Mbeya
Sahihi kabisa ...chata zilipigwa kona zote za Mby kuanzia Mabatini,Mbaliz Road,Mafiat,Sokomatola mpaka UyoleWe jamaa na hio chata yako ya Ras Jef Kapita ilitapakaa kuta zote za Mbeya
Leta Info acha Story za Vijiweni.Hata mtawala wa africa kusini de clerk alisomea iyunga
alisoma iyunga huyo kichaaMzee unasema kweli Botha alisoma iyunga?
Mkuu Kabigi na ndimbo balaa. Ndimbo amenifundisha biology namshukuru sana nimekuwa mtaalam. Nahisi kuna member mmoja humu ni mtoto wa Kabigi.
Mkuu kuna mwalimu alikua anaitwa Mwandumbya na Mwambene,nilikua nawagwaya sana.
Olikuwa Meta sasa iliendaje ccm sijuhi hii ni kutokana na stories za wahenga kipindi hicho.Meta sekondari ni ya wazazi wa CCM, ninayoitafuta lilikuwa ya serikali lilikuwa shule ya bweni na haikuwa mbali sana na uwanja wa mpira wa zamani ilitenganishwa na uwanja wa Raga (rugby). Au CCM ilichukua?
Mkuu Vamponji tena teh teh, pale pana kitimoto balaa.Mkuu kama umesoma Sangu Sec School bila shaka utakuwa unayajua haya maeneo Msichoke Pub.. upande wa pili ukivuka barabara ya lami...kulikuwa na mishkaki na pombe za kienyeji hapo.....Savoi Bar...na Vamponji...moja kati ya maeneo ambayo tumegonga sana ulabu enzi hizo...
Au ndio wewe wa karibu ma Meta Sec.Sahihi kabisa ...chata zilipigwa kona zote za Mby kuanzia Mabatini,Mbaliz Road,Mafiat,Sokomatola mpaka Uyole
Yeah ndo mimi karibu na Meta Sec School....ww ni nani mdau usije kuta nakufahamu....maana kama ulikuwa unajua hadi ninapokaa ww noma...Au ndio wewe wa karibu ma Meta Sec.
Kitimoto na beer sijui kama bado papo??Mkuu Vamponji tena teh teh, pale pana kitimoto balaa.
Mkuu inawezekana tunafahamiana sana tu na Member wengine wapo humu Jf, sometimes tulikuwa tunashinda kwenye kijiwe cha fundi viatu pale opposite na mitaa yenu.Yeah ndo mimi karibu na Meta Sec School....ww ni nani mdau usije kuta nakufahamu....maana kama ulikuwa unajua hadi ninapokaa ww noma...
Sawa kabisa pale chini ya mti .....pembeni ya njia ya kwenda Meta secondary...hawa jamaa unawafahamu...Jagwer...Mundundu Biz...babu....Mkuu inawezekana tunafahamiana sana tu na Member wengine wapo humu Jf, sometimes tulikuwa tunashinda kwenye kijiwe cha fundi viatu pale opposite na mitaa yenu.
Generali jaguar nlimkuta sanguSawa kabisa pale chini ya mti .....pembeni ya njia ya kwenda Meta secondary...hawa jamaa unawafahamu...Jagwer...Mundundu Biz...babu....
Wote nawafaham. Kuna kipindi Jagwer alikuwa Malawi. Biz sijuhi yupo wapi?Sawa kabisa pale chini ya mti .....pembeni ya njia ya kwenda Meta secondary...hawa jamaa unawafahamu...Jagwer...Mundundu Biz...babu....
Yaa Jagwa alikuwa ni mbabe...na crue yake walikuwa wakivuta bangi kaburi la boby...Generali jaguar nlimkuta sangu
Aise si alikuwa mbabe wa shule
Ova
Biz babu yupo Dar Jagwa yupo Malawi ameoa anaishi kule...mkuu ww ni yupi! nipe location ulipokuwa unakaa nitajuaWote nawafaham. Kuna kipindi Jagwer alikuwa Malawi. Biz sijuhi yupo wapi?
Hahahahab.kyege alikuwa mibangi sana .Kuna siku walikuwa wanacheza Kalobe na Nsenga basi wakaanza kupigana.... Daah Kyege akasema Iyunga tuuzime ule ugomvi daah tuliwachapa wale watoto balaa sana
Hao wakati tunaingia form 0ne sangu walikuja wanapita kila darasa wananyanganya madadtari na mabegi na pesa....Kuna siku tunaenda toi wakatugumiaYaa Jagwa alikuwa ni mbabe...na crue yake walikuwa wakivuta bangi kaburi la boby...
Mzew Walden naye si yule chotara mj general was JWtzAdolph namfahamu alikuja kuwa board member wa atc pia
Nakumbka nlipo kuwa dogo mbeya alikuwa akinipitia tukawa tunaenda kumtembelea mzee Walden black mamba kwake
Ova