Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,255
- 28,414
- Thread starter
- #161
Naona wanaiyunga ni wengi, hebu niwape kidogo, shule ile miaka ya sitini lilikuwa zaidi ya nyumbani yaani wanafunzi na walimu wote ikiwa headmaster mzungu na mkewe tulikula pamoja mesi chakula kilikuwa na hadhi ya hoteli kubwa daraja la kwanza na walimu walikuwa na attachment za makazi kwenye mabweni, kila mwanafunzi alikuwa na shuka nne nyeupe, foronya mbili na bedcover moja; Siyo rahisi kuelewa nyie lakini ndivyo ilivyokuwa.

