Shule hii Mbeya iko wapi?

Shule hii Mbeya iko wapi?

Lini? Mwaka jana au huu? Walikuwa rafiki zangu na tuliishi wote Chang'ombe, Michael alihama akabaki David alipata stroke, tulimzika Kinondoni.
Anyway! Bad news.
Mike alifariki 2017 naye alizikwa kinondoni
Karibu ya mdogo wake
Duh mm hyo misiba yote nlikuwepo
Mama yao aliyekuwa anaishi uingereza naye mwaka huu alifariki walimzika pia
Wadogo zake wale wa kike na kiume wanaoishi nje walikuja kuzika

Ova
 
Duh mzee sasa
Unanigusa.....
David wa changombe na Mike injinia wote rip
Baba yao....alikuwa muingereza mama yao msukuma ....mama alikuwa anaishi uk
Mama yao naye mwaka huu alizikwa
Adolph ni yule aliyekuwa mjeshi
Ova
Adolph Louis alifariki alikuwa rubani jeshini alikuwa anaishi Masaki, ni mdogo wa wmanzilishi wa Mbezi Louis naye alikuwa mwanajeshi naye pia chotara.
 
Mike alifariki 2017 naye alizikwa kinondoni
Karibu ya mdogo wake
Duh mm hyo misiba yote nlikuwepo
Mama yao aliyekuwa anaishi uingereza naye mwaka huu alifariki walimzika pia
Wadogo zake wale wa kike na kiume wanaoishi nje walikuja kuzika
Ova
Mdogo wao wa kiume anaishi ujerumani alinitajia mji ila nimesahau.
 
Adolph Louis alifariki alikuwa rubani jeshini alikuwa anaishi Masaki, ni mdogo wa wmanzilishi wa Mbezi Louis naye alikuwa mwanajeshi naye pia chotara.
Adolph namfahamu alikuja kuwa board member wa atc pia
Nakumbka nlipo kuwa dogo mbeya alikuwa akinipitia tukawa tunaenda kumtembelea mzee Walden black mamba kwake

Ova
 
Kuna wazungu fulani wa Danish wa danida walikuwa block t walivamiwaga ikasemekana jombi naye alihusika kwenye Tukio hilo na ilimfanya mpk akimbie nchi na kwenda Zambia...
Kumbe pale kulikuwa na cctv camera zilitegeshwa
Ni kweli alihusika?

Ova
Ni kweli mkuu....na kabla ya hapo pia jamaa aliwahi kumvamia mzungu mmoja hivi alikua anatoka mbeya mjini kuelekea chunya.....alikua ni mwanamke yupo na gari yake peke yake.......jombi alikua na washkaji zake. Wakampiga mkono akajiroga kusimama....weeeeeeee........walimtafuna vyombo wakamtupa nje na gari wakasepa nayo......yule mzungu nasikia days later alijinyonga...

Jombi alifanya mbeya nzima watu tuwe tunarudi nyumbani SAA 11 jioni.....yule jamaa yuleee....daaahh
 
Pale kwa wa Danish danida block t
Tukio lile nlimposkia ilinigusa
Kulikuwa na mama mmja wa kizungu alikuwa na garden nzuri sana ndani mule amepanda mboga za kila aina....nje pale palikuwa na genge anauza vitu
Nlikuwa naendaga anatufundisha mambo ya
Bustani
Sasa enzi hizo sisi block t tulikuwa tunajulikana watukutu wabongo wakawa wanamfata yule mama wanamwambia Dah Hawa watoto syo lkn yule mama akawaanawambia mbn Hawa watoto wako Sawa tu tena Wana adabu kupita maelezo
Wale wazungu ndy walikuwa wanasimamia mradi wa maji mbeya
Aise jombi alikuwa mshenzi .........
Tushampigaga nyoka Gari yke moja hapo soweto wakati fulani

Ova
 
Iyunga ilikuwa bonge la shule
Ila ilikuwa haimilikiwi na serikali kabla
Badaye ndy serikali nyerere wakaja itaifisha....
Shule mwanzoni ilikuwa na mpk swimming pool wabongo walipoichkua sehemu hyo wakaigeuza dampo ya kuweka uchafu

Ova
Hata mtawala wa africa kusini de clerk alisomea iyunga
 
Ni kweli mkuu....na kabla ya hapo pia jamaa aliwahi kumvamia mzungu mmoja hivi alikua anatoka mbeya mjini kuelekea chunya.....alikua ni mwanamke yupo na gari yake peke yake.......jombi alikua na washkaji zake. Wakampiga mkono akajiroga kusimama....weeeeeeee........walimtafuna vyombo wakamtupa nje na gari wakasepa nayo......yule mzungu nasikia days later alijinyonga...

Jombi alifanya mbeya nzima watu tuwe tunarudi nyumbani SAA 11 jioni.....yule jamaa yuleee....daaahh
Tukio hili liliamsha hasira za mkapa
 
Pale kwa wa Danish danida block t
Tukio lile nlimposkia ilinigusa
Kulikuwa na mama mmja wa kizungu alikuwa na garden nzuri sana ndani mule amepanda mboga za kila aina....nje pale palikuwa na genge anauza vitu
Nlikuwa naendaga anatufundisha mambo ya
Bustani
Sasa enzi hizo sisi block t tulikuwa tunajulikana watukutu wabongo wakawa wanamfata yule mama wanamwambia Dah Hawa watoto syo lkn yule mama akawaanawambia mbn Hawa watoto wako Sawa tu tena Wana adabu kupita maelezo
Wale wazungu ndy walikuwa wanasimamia mradi wa maji mbeya
Aise jombi alikuwa mshenzi .........
Tushampigaga nyoka Gari yke moja hapo soweto wakati fulani

Ova
Ila jamaa mke wake ni mzuri kinoma yani sjui alilipendeaga nini lile lijamaa.....afu ana watoto wake wakike warembo ile mbaya ila wadau tunaogopa kuwapiga sound maana bado tunaskia harufu ya uwepo Wa jombi
 
Ashaondoka huyo.......
Mzee ile bakery ilikuwepo blot t bdo ipo

Ova
 
Mkuu kama umesoma Sangu Sec School bila shaka utakuwa unayajua haya maeneo Msichoke Pub.. upande wa pili ukivuka barabara ya lami...kulikuwa na mishkaki na pombe za kienyeji hapo.....Savoi Bar...na Vamponji...moja kati ya maeneo ambayo tumegonga sana ulabu enzi hizo...
We jamaa na hio chata yako ya Ras Jef Kapita ilitapakaa kuta zote za Mbeya
 
Andrew
Ova
Ndiyo Andrew, najaribu kukumbuka mji, majina ya kijerumani kazi kidogo kuyashika.
David na Michael magitaa yao waliyachongea kwenye wood workshop ya Iyunga ilikuwa karibu ya swimming pool na ilikuwa na vifaa vyote muhimu vya useremala.
Tujiulize, viongozi wetu walipodai elimu ya mkoloni mbaya inamjenga mwanafunzi awatumikie walikuwa na mana gani? Leo hatuna mafundi seremala mitaani? Wanamtumikia nani! Waliondoa elimu ya ufundi, michezo na kilimo wakati wenu.
 
Ivumwe kuna miti sana na chanzo cha maji plus reli ya tazara
Hahahaaa mpka nimcheka....kuna Mdgo wangu alichapwa viboko pale ivumwe mpka alipoamua kujifanya amezimia ndo waalimu wakatoa leso kuanza kujifuta jasho na kupumzika.......hahaha
 
Hata mtawala wa africa kusini de clerk alisomea iyunga
Wakati wa Mbeya School kuna basi la kampuni ya CARS (Central Africa Road Service) ilikuwa ikileta wanafunzi wakizungu toka Afrika Kusini shule ikifungua.
 
Hata mtawala wa africa kusini de clerk alisomea iyunga
Ivumwe si kwenda lazima wakatishe kwenye ule mto
Aise nlitaka pelekwa hpo alafu shule hyo ili sana kwenye masomo ya kilimo

Ova
 
Back
Top Bottom