Shule hii Mbeya iko wapi?

Shule hii Mbeya iko wapi?

Nlisoma sangu sec ila nlitimuliwa
Sikumaliza miezi 3 wanapiga bakora balaa
Kulikuwa na mwl anaitwa kabigi na ndimbo
Wao utafikiri walinikamia
Ova

Now days Bakora zipo Ivumwe. Sangu full luxury, nimeondoka Sangu miaka ya 2010+ .

Ivumwe weka mbali na watoto.
 
Ile swimming pool bora wangeifukia tu, kuna mwaka alikufa mtoto wa mwalimu pale kwa kuzama mule.... nakumbuka ilinivurugia plan za kung’oa mtoto wa Mung’ong’o.
hahaha umenkumbusha headmaster

Pande la jitu
 
Ile swimming pool bora wangeifukia tu, kuna mwaka alikufa mtoto wa mwalimu pale kwa kuzama mule.... nakumbuka ilinivurugia plan za kung’oa mtoto wa Mung’ong’o.
Mtoto yupi mkuu..
Yule first born wake wakike ambaye anapiga MD Cuba.??
 
Vipi kuhusu Yale machine ya kusaga na kukoboa?
Vipi kuhusu ule ukumbi ambao Una underground space?
Machine zilishakufa mkuu..
Ule ukumbi bado upo na pini za loleza nasikia zinapigwa kama kawaida .

Mle ndani paper ikikugonga unaanza kukumbuka ujinga wote uliokuwa unaufanya na watto wa loleza
 
Machine zilishakufa mkuu..
Ule ukumbi bado upo na pini za loleza nasikia zinapigwa kama kawaida .

Mle ndani paper ikikugonga unaanza kukumbuka ujinga wote uliokuwa unaufanya na watto wa loleza
Umenikumbusha toto za loleza Dah
Aise mbn hyo shule haiskii now days

Ova
 
Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
Ni mwaka gani huo kiongozi?
 
Umenikumbusha toto za loleza Dah
Aise mbn hyo shule haiskii now days

Ova
Shule nyingi ambazo zilikuwa zinakiki zamani sa hivi hakuna kitu.
Sa hivi shule za private ndo habari.
Kwa mbeya ni St.francis tuu ndo inakiki naw.

Wachumba zetu wa loleza baada ya kufika versity tumekuwa maadui .hahahaha life bana.
 
St Francis I naanza nlikuwa mbeya
Ila na ww hilo Jina lako la jombi inanikumbusha jombi mtata

Ova
 
St Francis I naanza nlikuwa mbeya
Ila na ww hilo Jina lako la jombi inanikumbusha jombi mtata

Ova
Mkuu kweli wewe mkongwe kumbe hadi Jombi mtata unamjua.?
Mimi nimeamua tuu kujiita ivo but sio mtata kama Jombi.
 
Mm nimesoma kipindi Ada 70000/=
Ada ya elfu mbili mawaziri wengi walishindwa kuilipa, mzee Aikaeli Mbowe, sir G. Kahama, chief Mkwawa ni miungoni ya wazazi walioweza kuwasomesha watoto wao hapo, wanafunzi wengi walikuwa wahindi, walimu wengi na headmaster wazungu, kwa waafrika wachaga wengi, wazungu hasa watoto wa masetla wenye mashamba makubwa wa nchini na nchi za jirani.
 
Mkuu kweli wewe mkongwe kumbe hadi Jombi mtata unamjua.?
Mimi nimeamua tuu kujiita ivo but sio mtata kama Jombi.
Hyo mtu nshakutana naye sana garage moja hapo soweto enzi hzo Mm chalii tu
Form 1 part time kazi yangu nlikuwa nafanya ukonda
Ilikuwa tukipwleka Gari service nkawanamkuta....alikuwaga na range ile ya kizamani nakumbka

Ova
 
Nlisoma sangu sec ila nlitimuliwa
Sikumaliza miezi 3 wanapiga bakora balaa
Kulikuwa na mwl anaitwa kabigi na ndimbo
Wao utafikiri walinikamia

Ova
Mkuu Kabigi na ndimbo balaa. Ndimbo amenifundisha biology namshukuru sana nimekuwa mtaalam. Nahisi kuna member mmoja humu ni mtoto wa Kabigi.
 
Back
Top Bottom