Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Kati ya threads za kijinga ni pamoja na hii! 'Ukilaza' upo kwenye nini? Je waliosoma Seminari yaani Catholic Seminaries unawasemaje? Kilaza mkubwa.
 
Ha haa! Ngoja waje wanatoka povu! Ila maisha yana usenge flan hivi! Wale waliokuwa wanakimbiza sana class wana maisha ya kawaid wakati mbugila mbugila flan hiv ndio wanatia bakora za maana hapa mjini!
 
Ona shule za kata zinavyotuharibia elimu...wewe elimu ni wingi wa wanaopita shuleni, maana wanapita tu hata hawaelimiki......unapata engineer asiyejua kitu bado unaita elimu...pole sana.

Sitaki unipe pole kaka!! Ila ukweli lazma niuseme, watanzania tulipumbazwa na ideology ya mwalimu Nyerere ya kusomesha wachache wawe viongozi huku wengine wakibaki mashambani!! Matokeo yake tunaona wanaosoma sasa tunawaona hawana quality, elimu haina bila hata kuwa na landmark!

Eti mainjinia wa sasa ni fake!! Unaweza kunitajia hata engineer mmoja ambaye amesoma enzi zako aliyejenga hata barabara kuu (highway) tofauti na wachina!!!

Tuapriciate hatua tuliyopiga kama nchi kwenye elimu!!
 
mi nilisoma international school of tanganyika
hivyo vikayumba vyako vitasubiri sana
 
Sitaki unipe pole kaka!! Ila ukweli lazma niuseme, watanzania tulipumbazwa na ideology ya mwalimu Nyerere ya kusomesha wachache wawe viongozi huku wengine wakibaki mashambani!! Matokeo yake tunaona wanaosoma sasa tunawaona hawana quality, elimu haina bila hata kuwa na landmark!

Eti mainjinia wa sasa ni fake!! Unaweza kunitajia hata engineer mmoja ambaye amesoma enzi zako aliyejenga hata barabara kuu (highway) tofauti na wachina!!!

Tuapriciate hatua tuliyopiga kama nchi kwenye elimu!!
shule zetu zimeshindwa kuondoa ujinga....kazi tunayo....huu mfumo wa piteni shule haya ndio matokeo yake
 
nimeoitia mbili kati ya hizo A na O levels, moja ipo kati ya hizo 3 za juu,
 
Ona shule za kata zinavyotuharibia elimu...wewe elimu ni wingi wa wanaopita shuleni, maana wanapita tu hata hawaelimiki......unapata engineer asiyejua kitu bado unaita elimu...pole sana.

Shule za kata ni kirusi kinachoua elimu
 
Kila shule na wakati wake wengine tulipenda kwenda DON BOSCO SEMINARY tukikacha shule za serikali tulikochaguliwa
 
Back
Top Bottom