Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,802
- 22,139
Inaonekana hufahamu jf ina watu wa aina gani . Si ajabu baba yako na mama yako wamo humu. Narudia kuwa elimu yako na hoja zako vinafanana. ndio shule zetu za leo mkuu
Kuna wa2 wamexoma xhule za kata na wanakula bata serikaln hao walioxoma kweny izo xhule zako wanauza karanga kilaza ni nan apo?
Aisee mbona mademu wetu wa Ashira Hawapo...?
Duh! umenikumbusha Kigoma Secondary miaka ya 1980. Mwl Lwinga, Mutobesya, Mngodo chini ya uongozi wa Mazigo (rip) na Chaka. Wakati huo Tabora yupo Msemakweli. Ilikuwa raha sana.
Siioni Dodoma
Mhhhhhhhhh wewe muongo, mbona umesahau Kilosa sec., Tumaini sec., Bagamoyo Sec. na Sengerema Sec.pia ? au wewe ndo kilaza?